Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,484
- 151,659
Ndiyo.Ni wewe ndiyo unasema hayupo halafu ni wewe ndiye unayesema haiwezekani kuthibitisha kwa sababu hayupo.
Kwa sababu hayupo.
Ndiyo.Ni wewe ndiyo unasema hayupo halafu ni wewe ndiye unayesema haiwezekani kuthibitisha kwa sababu hayupo.
Hapo sasa umeuliza swali linalofaa zaidi.Unadhani maafa mbalimbali mfano tetemeko la ardhi husababishwa na nini?
Ahsante kwa kujiona wewe upo katika wenye kujua hapo inaonyesha mungu hayupo, mungu mwenye busara na hekima kwanini anaumba wapumbavu na werevu ? Mbona hana fair
Maneno yako yamejaa shari ila kwasisi waungwana hatuwezi kukudharau wala kukutoa kasoro hata ukosee vipi ila sisi huwa tunasema
"Faidhaa khatwaba humul jahiiluuna qaluu salama"
Dini= Religion =دين
Umekuja kwenye pointi yangu ya msingi niliyokuwa ninaitaka.Hapo sasa umeuliza swali linalofaa zaidi.
Maafa yanasababishwa na ukweli kwamba ulimwengu haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Ungeumbwa na Mungu huyo, angezuia maafa yasitokee.
Lakini maafa haya yanayokana na mifumo kumomonyoka (kwa sababu haijaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye angeweza kuzuia mifumo isimomonyoke).
Ni second law of thermodynamics at work.
Given enough time, without sustaining work, all closed systems break down. Entropy increase. Disorder increase. Disasters strike.
Suala la muda nilishalimaliza kitambo,kwa nyie kushindwa swali langu nililo wauliza kuhusu muda ulianza lini.Ustadhi Zurri unanikimbia katka hoja ya muda me nimekuambia hakuna anayejua maana ya muda katka dunia ya leo
Nasikitika wewe unapotaka kujua muda nini?
Baada ya kukubali maafa hayatokani na Mungu bali shughuli zetu na uzembe wetu wa kila siku ndio unapelekea maafa,mpaka sasa hoja iliyobaki kwamba Mungu ana upendo sana kwa sababu hoja ya upande wa pili kuhusu maafa umekubali mwenyewe kwamba hayaletwi na Mungu.Hapo sasa umeuliza swali linalofaa zaidi.
Maafa yanasababishwa na ukweli kwamba ulimwengu haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Ungeumbwa na Mungu huyo, angezuia maafa yasitokee.
Lakini maafa haya yanayokana na mifumo kumomonyoka (kwa sababu haijaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye angeweza kuzuia mifumo isimomonyoke).
Ni second law of thermodynamics at work.
Given enough time, without sustaining work, all closed systems break down. Entropy increase. Disorder increase. Disasters strike.
Maafa hayawezi kutokana na Mungu katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.Umekuja kwenye pointi yangu ya msingi niliyokuwa ninaitaka.
Kwa hiyo umekubali kwamba maafa hayatokani na Mungu bali ni hizi shughuli zetu za kila siku tunazozifanya, na hata ile ajali ya Mv Nyerere haiuhusiani kabisa na Mungu bali ni uzembe wetu sisi wenyewe, hivyo basi hata hoja yako ya kusema habari za Mungu zinajikanganya zenyewe kwa kuonesha upande mmoja ana huruma sana na upande mwengine ni mkatili kwa sababu ameumba kifo ambacho kimsingi kinatenganisha watu wanaopendana ni batili.
Na mpaka hapa tumeivunja hoja yako .
Kaka nakuuliza ili nikisaidie,nilitaka nikupuuze tangu ulipovamia hii mada kwa pupa. Sasa nataka twende kwa mtindo hui.Mtu asiyeamini ana haki ya kupewa vithibitisho ili aweze kuamini kuwa jambo fulani lipo.
Sasa inakuwaje mnaotetea mnaongea tu maneno mengi ambayo hayana facts ndani yake?
Hamuoni kama mnapoteza muda kutetea jambo ambalo hamuwezi kulithibitisha?
Hamuoni kuwa mmedandia tu gari mkaambiwa kuwa hili linaelekea mbinguni kwa Mungu mkapewa sifa kedekede za kupendeza na kupewa vitisho vingi pia vilivyo obscure your capacity to think out of the box kwa kuwa induced na fear kuwa utakufuru?
Nani aliewahi kumwona Mungu au kufika mbinguni/motoni/peponi/ahera n.k akaleta mrejesho wa hayo yote?
Jibu ni kuwa hakuna. Na kama upo ushahidi tunaomba hapa ili nasisi tuamini.
Baada ya kukubali maafa hayatokani na Mungu bali shughuli zetu na uzembe wetu wa kila siku ndio unapelekea maafa,mpaka sasa hoja iliyobaki kwamba Mungu ana upendo sana kwa sababu hoja ya upande wa pili kuhusu maafa umekubali mwenyewe kwamba hayaletwi na Mungu.
Umekubali mpaka hapa kwamba habari za Mungu hazijikanganyi?
Hili nilishakujibu kitambo.Kama ana matatizo, hajui, ni mpumbavu kweli.
Hilo nalo ni ushahidi kwamba Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na viumbe wake wenye upumbavu.
Ili Mungu awepo lazima kuwe na sifa kuu zipi?Maafa hayawezi kutokana na Mungu katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.
Na katika ulimwengu ambao Mungu yupo, maafa hayawezekani kuwepo.
Kwa hiyo, tunapoona ulimwengu huu una maafa, huo ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Angekuwepo, angezuia maafa yasiwezekane tangu mwanzo kabisa anauumba ulimwengu.
Wapi? Weka link hapa.Hili nilishakujibu kitambo.
Kwa hiyo umekubali kwamba ulimwengu umeumbwa na Mungu?Hujaelewa nilichoandika.
Maafa hayawezi kutokana na Mungu katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.
Na katika ulimwengu ambao Mungu yupo, maafa hayawezekani kuwepo.
Kwa hiyo, tunapoona ulimwengu huu una maafa, huo ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.
Angekuwepo, angezuia maafa yasiwezekane tangu mwanzo kabisa anauumba ulimwengu.
Sijatumia logic sababu elimu ya mantiki imekuja baada ya watu kumakinika katika mambo mengi sana,kumakinika katika kuujia uweli,kumakinika katika kujua kujenga hoja.Unajua kwamba ukishaanza kuchambua habari za madhaifu ya logic, ushatumia logic hapo hapo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kaka huu utoto siufanyi,yaani siruhusu tena kupotezewa muda bro.Wapi? Weka link hapa.
Awe na logical consiatency isiyo na contradiction.Ili Mungu awepo lazima kuwe na sifa kuu zipi?
Embu ziorodheshe hapa, angalau tano.
Sasa mtu akisema hujawahi kujibu, unadanganya tu, utakanusha vipi kama link ya ulipojibu hutaki kuweka?Kaka huu utoto siufanyi,yaani siruhusu tena kupotezewa muda bro.
Kwa hiyo umekubali kwamba ulimwengu umeumbwa na Mungu?
Logic ni nini?Sijatumia logic sababu elimu ya mantiki imekuja baada ya watu kumakinika katika mambo mengi sana,kumakinika katika kuujia uweli,kumakinika katika kujua kujenga hoja.
Kama una amini wakina Thales,Homeri,Aristosto,Socrates na wengine walikuja baada ya mitume kadhaa kupita ujue elimu ya mantiki ni ujinga wa kupuuzwa sababu watu walikuwa wameshaelimika kitambo sana.
Ila hawa waitwao wanafalsafa waliamua kiacha dini kwa hiyari zao wenyewe ndio maana wakapotea wao na wakawapoteza wenzi wao.
Nakuja..........!