Ikiwa watu wanazaliwa wakiwa wajinga, kosa ni la nani? Muumbaji, siyo? Kwa hivyo yeye ndiye atakuwa na ujinga kwa kushindwa kutumia uwezo wake kuumba watu werevu. Simple logic.
Msingi wa dhana ya Mungu ni ukomo wetu wa kufikiri. Basi!. Na huu ni utumwa mkubwa sana.Inakuwa ngumu mtu kukuelewa mkuu ikiwa hujavunja hoja za misingi ya hiyo dhana,ukiishia tu kupinga yale yenye kuelezwa kuhusu Mungu bila kupinga msingi wenyewe wa hiyo dhana inakuwa sawa na bure.
nimethinkiiiiii nimegundua kuwakweli Mungu yupo na ili ujue Mungu yupo jiulize wewe umekujaje duniani amekuleta nani? ukishajua haya ndo uendelee kufikiria mengineyoThibitisha Mungu yupo.
Kukuelezea elimu ya Marekani ni sawa na kumfundisha claculus sisimizi.
Kaka mkubwa naelekea katika ile safari niliyokuwa naisubiri kwa hamu sana. Safari ya kuonyesha haki iko wapi na kina nani wenye haki.Unarudia rudia tu maswali yale yale, tushajadili haya.
Awali kabisa, uthibitisho ni lazima uweze kupimika. Usipoweza kupimika hauwezi kuwa uthibitisho.
Pili, uthibitisho ni lazima uwe logically consistent. Sio uthibitisho hauna logical consistency. Sio nakuuliza kuthibitisha kwa njia inayoweza kuwa falsified, wewe unahubiri kwa ushairi vague ambao hausemi lolote linaloweza kuwa fasified.
Tatu, uthibitisho ni lazima usiwe self contradictory, usiwe na elements zinazojipinga zenyewe. Sio tunathibitisha wewe umeoa, unaniambia umeoa, halafu hapo hapo unniambia wewe ni bachelor huna mke.This is a special case of lacking logical consistency.
Nne, uthibitisho ni lazima uweze kutabiri vitu specific, kwamba vitatokea mbeleni, katika muda specificna realistic, kwa namna specific,vinayoweza kupimwa, katika maisha yetu haya na si habari za baada ya kufa ambako hatujui hata kama tutaweza kupima chochote.
Tano, uthibitisho ni lazima uwe na ushahidi usiopingika kimantiki katika fremu yenye kukubalika na pande zote. Sio unathibitisha mambo kwa mistari ya Quran, wakati Quran yenyewe kwangu ni kitabu chenye makosa mengi sana ya kujipinga chenyewe.
Hayo ni machache tu kwa sas.
Hawa watu kutoijua misingi ndio huwa kuna waangusha sana,huishia kuyasema yale ambayo kiuhalisia hawawezi kuyathibitisha hata kwa dakika moja.Inakuwa ngumu mtu kukuelewa mkuu ikiwa hujavunja hoja za misingi ya hiyo dhana,ukiishia tu kupinga yale yenye kuelezwa kuhusu Mungu bila kupinga msingi wenyewe wa hiyo dhana inakuwa sawa na bure.
Mada ya uerevu na ujinga ni mpya kwenye Uzi huu. Kufahamu mtu mjinga na mwerevu ni yupo, sidhani kama kunawea kuthibitisha Mungu yupo au hayupo. Maneno haya yametumika kama maneno mengine yanavyotumika, tukiamini yanafahamika vizuri. Vinginevyo, tusishangse mtu mwingine naye akaja kuuliza maana ya "sidhani", " vizuri" ama "kutokushangaa".Kinyume cha ujinga ni uerevu, sasa niambie nani anazaliwa akiwa muerevu?? na kipimo cha uerevu ni kipi ili tukimuona muerevu tumtambue??. Simple questions.
Ndugu, kabla ya uwepo wako, kulikuwa na Mungu? Ulimwengu je?, wanadamu walikuwepo? Unayo kumbukumbu yoyote ya uwepo wa Mungu kabla ya kuwepo kwako?Hawa watu kutoijua misingi ndio huwa kuna waangusha sana,huishia kuyasema yale ambayo kiuhalisia hawawezi kuyathibitisha hata kwa dakika moja.
Mathalani huwa wanasema Uwepo wa Mola ni matokeo ya fikra za mwaadami,ukiwauliza kivipi ? Bro hapo nanga itapaa hupati jibu.
Hapa naendelea pale nilipoishia.Unarudia rudia tu maswali yale yale, tushajadili haya.
Awali kabisa, uthibitisho ni lazima uweze kupimika. Usipoweza kupimika hauwezi kuwa uthibitisho.
Pili, uthibitisho ni lazima uwe logically consistent. Sio uthibitisho hauna logical consistency. Sio nakuuliza kuthibitisha kwa njia inayoweza kuwa falsified, wewe unahubiri kwa ushairi vague ambao hausemi lolote linaloweza kuwa fasified.
Tatu, uthibitisho ni lazima usiwe self contradictory, usiwe na elements zinazojipinga zenyewe. Sio tunathibitisha wewe umeoa, unaniambia umeoa, halafu hapo hapo unniambia wewe ni bachelor huna mke.This is a special case of lacking logical consistency.
Nne, uthibitisho ni lazima uweze kutabiri vitu specific, kwamba vitatokea mbeleni, katika muda specificna realistic, kwa namna specific,vinayoweza kupimwa, katika maisha yetu haya na si habari za baada ya kufa ambako hatujui hata kama tutaweza kupima chochote.
Tano, uthibitisho ni lazima uwe na ushahidi usiopingika kimantiki katika fremu yenye kukubalika na pande zote. Sio unathibitisha mambo kwa mistari ya Quran, wakati Quran yenyewe kwangu ni kitabu chenye makosa mengi sana ya kujipinga chenyewe.
Hayo ni machache tu kwa sas.
Umeuliza swali rahisi nina kujibu swali lako hili. Na mimi nikikuuliza swali bro naomba unijibu.Ndugu, kabla ya uwepo wako, kulikuwa na Mungu? Ulimwengu je?, wanadamu walikuwepo? Unayo kumbukumbu yoyote ya uwepo wa Mungu kabla ya kuwepo kwako?
Bro hujatoa bado uthibitisho.Hii ina maana gani, hata Mungu yupo kwa kuwa watu wapo. Tafsiri ya mbele kidogo ni kuwa, Mungu ni matokeo ya uwepo wetu. Huu ndio uthibitisho nilio nao.
Thibitisha kuwa mtu ambaye hajazaliwa anatambua uwepo wa Mungu na kila kitu kilichopo. Ukishindwa ujue unakubaliana nami kubwa, ili kutambua Mungu yupo, lazima uwepo. Na usipokuwepo milele, tafsiri yake ni kwa, hakuna kitu Mungu kiliwahi kuwepo kabla ya wewe kuwepo.
Unasema msingi wa dhana ya Mungu ni ukomo wetu wa kufikiri.Msingi wa dhana ya Mungu ni ukomo wetu wa kufikiri. Basi!. Na huu ni utumwa mkubwa sana.
Ndugu, jiulize, kwa nini Mungu wa upendo aliacha kivuko kinachobeba watu mia kubeba watu mia mbili? Alishindwa kuzuia hilo pamoja na uwezo na upendo wake wote?
Ndugu, jioe muda wa kujitumia. Tafakari sana. Wanaopaswa kuwa na upendo ni wanadamu ambazo wangeamua kusimamia taratibu, ajali hiyo isingetokea.
Kusema Mungu kapanga ni ukomo mbaya sana wa kifikra. Ni umbumbumbu unaotufanya kuwa utumwani milele. Hicho kivuko kilizidisha watu na waliosimamia kujaa hivyo ni watu, siyo Hugo Mungu. Ila, kwa mini Mungu wa upendo muweza vyote hakuzuia? Au ndicho alichoweza? Kuangamiza watu 200 kwa pamoja? Hakuna na huruma na familia, watoto, wahitaji wanaoachwa?
Jibu rahisi in kuwa kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu wanadamu. Tunayasabisha sisi, ila kwa kuwa yupo Mungu, yakitokea ni mipango yake. Aibu, utumwa, ujinga, umbumbumbu!
Kaka usitegemee kupata jibi hapo. Wao wanapenda kuuliza wao maswali na kujibiwa ila ukiwauliza wao hawajibu.Unasema msingi wa dhana ya Mungu ni ukomo wetu wa kufikiri.
Una maanisha nini unaposema ukomo wetu wa kufikiri?
Nikikwambia kuwa unaongea kitu ambacho haujawahi kuexperience utakataa? Unaweza kuelezea experience yako ya kutokuwepo ilikuwaje?Yani kila kitu kinaanza kuwepo baada ya wewe kuwepo. Usipokuwepo, hakuna kilichopo, hakikuwahi kuwepo na hakitakaa kiwepo, had I utakapokuwepo.
Hapana. Ninaongea kitu ambacho Nina uzoefu nacho. Sikukaa kuwepo hadi pale nilipokuwepo. Je, una uzoefu wowote wa kutambua uwepo wa Mungu kabla ya wewe kuwepo? Fikiria mwenye uzoefu wa kutokuwepo milele, kwake Mungu yupo? Anamtukuza vipi?Nikikwambia kuwa unaongea kitu ambacho haujawahi kuexperience utakataa? Unaweza kuelezea experience yako ya kutokuwepo ilikuwaje?
Ndiyo maana nikauliza unaweza kuelezea uzoefu wako wa kutokuwepo ulikuaje?Hapana. Ninaongea kitu ambacho Nina uzoefu nacho. Sikukaa kuwepo hadi pale nilipokuwepo. Je, una uzoefu wowote wa kutambua uwepo wa Mungu kabla ya wewe kuwepo? Fikiria mwenye uzoefu wa kutokuwepo milele, kwake Mungu yupo? Anamtukuza vipi?