Makongoro Unatia Kichefuchefu!

Haka ka kipengele ndiko tatizo kwangu haswa! Na haya ndiyo yanayoleteleza mambo kuwa yalivyo sasa Tanzania.

Mungu inusuru nchi yetu mikononi mwa mafisadi!

linaonekana limeshakuwa ni jambo la kawaida tuu
 
Mkuu,,,

Kama umeangalia statistics za JF ziko hivi:



Huyu ndiye mwanachama mpya lakini kaja na nondo kweli. Tatizo anaonekana offline. We need him to clear some quiz... mwanahalisi, njoo online tafadhali!

unajua watu wengi sana wanasoma soo mtu akiona anakitu cha kuchangia ndio anajoin kuwa member, na unajua tena internet maofisini hawa mabosi wanafikiri ni anasa. sijui tutafika lini

Manahalisi njoo bwana unahitajika kulijenga taifa lililosafi
 
Duh wazee hii kali wazee kila kona ni uchafu tu! Tupo pamoja kumkoma nyani jamani! Kwa mwendo huu sijui hiyo Tz yenye neema itafika lini?
 
.... mkuu hawa watu nanataka tufike tusikokutaka na wataacha midomo wazi wakati wao ndo wanalianzisha
Hapana mkuu... Kuanadamana tu, tutaandamana lakini huko wanakotaka twende hatutafika na tutawashinda kwa mwendo huu.

United we stand!
 
Hapana mkuu... Kuanadamana tu, tutaandamana lakini huko wanakotaka twende hatutafika na tutawashinda kwa mwendo huu.

United we stand!

sipendi na sitaki kabisa vurumai, ila ninawasiwasi wanalipeleka taifa pabaya sana kwa dharau zinazotokana na shibe za wizi,

mkuu have this picture,
makongoro anapigania uongo juu ya ndege mbovu anaambiwa anaongea upuuzi, halafu inaanza kazi watu wanapoteza maisha, watanzania wananyamaza
 
duh!inatisha, hivi tanzania iliyo safi itafika siku ionekane kweli?

kinachonishangaza ni kuwa licha ya hizi changamoto za sasa, bado viongozi wamejawa na dharau na kiburi kinachotkana na vijisenti vya wizi.

kweli mbele kugumu.......lakini watu kama kina mwanahalisi tunawakubali, katoa mwanzo wana JF na tumalize.
 
Hii Kubwa Kuliko, kweli Nomaaaaaa. Mwanahalisi haya ndio tunayahitaji JF. Tanzania tunakwenda wapi? Miundo Mbinu kuna nini???????
 
Tulifikiri MAFISADI wamepungua kidogo kumbe na MAKONGORO bado wamo?

Sasa mwaka huu kuna kazi maana naona wataisha. Makongoro inabidi ajiondoe tu. Aibu gani kumbe ndio maana mashirika yamekwisha?
 

Hivi kwani lazima tuwe na shirika la ndege????????????. wapeni nafasi Precision wasiokula hela ya Mtanzania watusafirishe
 
Kweli Mkuu Invisible

Hapa unaweza kumkamata mtu ukamvunja shingo. Hii kweli ndio Tanzania. Hii ni kufuru inanikumbusha mzee wa vijisenti
 
Nadhani hii Makongoro akiipata atajinyonga, Mwanahalisi hizo nondo kiboko.
 
Salam kwenu wakuu,

hii sasa ni balaa juu ya balaa,hii nchi inashughulikiwa kila upande huku sisi wadanganyika tukiwa watazamaji katika kiwanja cha mpira hivi lini tutasema inatosha,tutaendelea kuagonize mpaka lini,lini tutaamua kusema sasa basi na kuorganize dhidi ya wachache wanaotugeuza kuwa shamba la mjomba! Amkeni wadanganyika tupiganie haki yetu.
 

Huyo Kibaraka ameshalamba zaidi ya £600,000/= Na bado walikuwa wanahitaji 10%??? Yet, ndege ni mbovu na bado haijafika Dar??? Worse still, hawa mafisadi tunapishana nao madukani, sokoni, etc. I cant believe!!!Watu kama hawa dawa yao ni kunyongwa hadharani ili liwe fundisho kwa wenye tabia chafu kama hizi.
 
Mwanahalisi,
Nina swali dogo la kijinga. Nijuavyo mimi Airbus
hutengenezwa Ufaransa. Kitu gani kilipelekea kuamuliwa ndege inunuliwe El-Salvador? Of all places?

Hili jambo inabidi lifanziwe utafiti.

Hapa ni wazi kabisa pana mikono ya watu imesalimiana na bahasha za 10%. Haiwezekani El-Salvador nchi maskini katika South America iwe na AirBus!
 
Karibu sana Mwanahalisi,tunashukuru sana kwa huo UFUNUO,na nna uhakika JF itakufariji kwa hayo MACHUNGU yaliyokukuta,hizo HESABU(%) ulizopiga hapo juu zinauma ati!
 
..... watazamaji katika kiwanja cha mpira hivi lini tutasema inatosha.....lini tutaamua kusema sasa basi na kuorganize dhidi ya wachache wanaotugeuza kuwa shamba la mjomba! Amkeni wadanganyika tupiganie haki yetu.
Tupo macho Mkuu,JF ndo-kiwanja halisi cha mapambano na tutashinda tu!!
 
Makongoro chunga sana, mambo ya kupayuka ovyo kama walevi mnatakiwa myaache enyi wanasiasa walafi msiokuwa na haya. Baada ya muda utasikia yote haya yaliyokuwa yanasemwa ni kweli mtupu. Halafu mnaumbuka
 
Tusishangae kujs kusikia ana mrithi Chenge ana kuwa waziri kamili , halafu baada ya miezi mitatu naye ana kumbwa na kashfa anajiuzulu!Kazi ipo!
 
..........wapeni nafasi Precision wasiokula hela ya Mtanzania watusafirishe

....eti nini??????......hebu cheki facts zako vizuri Mkuu........Hivi unamfahamu Mramba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…