Mkweli ktk yepi weye?Ktk kila kitu,vitu fulani au nini?Ukweli ni Absolute...ila usemaji wa hiyo KWELI ni very relative...hata kwa msemaji wake tuu ,kunaweza mchanganya.NDIO KWELI IPO KTK NENO LA MUNGU TUU.
Haha....nashukuru umepata ujumbe...na kufahamu.Biashara za uongo mtakatifu kuwa ukweli inakuhusu.Wewe potea, huna cha maana.
Shida ni jinsi CCM ilivyoona kuwa inaweza wa abuse km ilivyo abuse wanawake na kumweka makinda.Muda wote CCM ilikuwa akilumbana na kuikebehi hii familia vibaya.Kwa nini hawakufikiri kuhusu madaraka?
Pengine usubiri ufafanuzi wa nwenyekiji aka JK aka Mh. Rais..nasiki yeye ndie aya...touu..llah wenu.Na mwanafalsafa mkuu.Team Tengeru, mtakoma mwaka huu, viva Makongoro
Pengine usubiri ufafanuzi wa nwenyekiji aka JK aka Mh. Rais..nasiki yeye ndie aya...touu..llah wenu.Na mwanafalsafa mkuu.
hata makinda na kinana si mlisema hivyo.Wakati tukiwaambia mnapoteza muda tuu na kuchezea hela za umma mnaziiba ili wakazitumie kwa kazi isiyowezekana mlibisha hivi hivi na mkashangilia ushindi..sasamnasemaje?Makongoro kumbe sindano imeingia vizuri, Team Tengeru ni sheeeeeeeedaaaaaaaah!!!!!!!
Hivi wewe Yericko ni wa ukoo upi? Ule wa Matombo Morogoro au? Halafu ninyi Chadema kweli siasa zimewashinda, sasa kila anaetajwa ndani ya CCM mnamponda mbaya, tuambieni sasa ninyi mnamtaka nani ndani ya ccm au hilo jukumu mnamtaka tuwape mtutaftie mgombea urais ndani ya ccm? Basi rudisheni kadi za Chadema tuwape za ccm mmependekeze mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi
Wanajamvi,
Mtakumbuka huko nyuma niliwajuza hali ya siasa ndani ya CCM na matarajio ya CCM kutegemea familia ya mwasisi wa taifa hili kushinda uchaguzi hapo Oktoba.
Makongoro kupitia gazeti la Mtanzania anasema sasa anasubiri tu kipyenga cha mwamuzi, na kwamba familia ya mwasisi huyo wamemeza siri kubwa kuhakikisha mtoto huyu wa Julius Kambarage Nyerere anafuata nyao za akina Uhuru Kenyata, Aman Karume, Kabila, nk.
Siasa za ufalme sasa zajichomoza wazi ndani ya CCM hii ni baada ya ubunge wa akina Ridhiwani, Mgimwa, Vita Kawawa, Husein Mwinyi kuukwaa.
Subir kwanza, hivi mgombea wa chadema/ukawa anaitwa nani?kama viongozi wako wakuu wa chama mpaka sasa hawamjui mgombea wao, ndio wataka yeriko akutajie? wakati wewe mwenyewe upo upo tu. poleni magamba bado miezi 5, hamjaanza kura za maoni na bado hamjui nani anabeba bendera ya chama.