Makongoro: Nasubiri kipyenga cha mwamuzi tu

Makongoro: Nasubiri kipyenga cha mwamuzi tu

wafikiri watu wanafikiri kama wewe kaka...? naamini ni mtu muhimu lakini je chama cha babake kinamuelewa....?
 
Makongoro julius kambarage nyerere


weee acha zako...na ww ni member wake wa kunywa gongo nn..!!? Makongoro is a useless guy..hata yeye mwenyewe tu kujitunza anashindwa...ashukuru kaupata EAC MP....la sivyo ingekuwa shida...mdomo umekuwa mwekundu kisa gongo...!!!!
Hatumtaki, hana impact like his Dad.....hakuwa hata siku moja kukemea maovu ya Rushwa nchi hii...amebakia na gongo tu.....NI MTU WA MANENO MAZURI TU BUT ACTIONLESS....HAFAI...
 
Back
Top Bottom