Gwangambo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 3,637
- 1,208
Mtu Mwenyewe anaitwa Masanja, hiki ni Kisukunglish.Hichi Ni Kiibrania Au Kiyunan
Mtu Mwenyewe anaitwa Masanja, hiki ni Kisukunglish.Hichi Ni Kiibrania Au Kiyunan
Swadakta Mkuu mimi nilijua huyu jamaa kwa namna ambavyo anakazani kulitumia jina la ukoo wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere basi sie wengine MAGT humu ndani tukaenda kichwani huku tukiendelea kuunganisha dot kidogokidogo labda zile hekaya za wahenga wetu kuwa kitanda akizai haramu/inazaniwa/uenda/labda/watu wazima uwa inatokea/kiafrika ni jambo la kawaida/kwa watoka koo za kichifu wanajua kuna utapanyaji wa damu hata kwa mtapanyaji aisvyojua anakuta imetoke lada huyu ni sehemu hiyo/na maswali ya kujiuliza na kujijibu binafsi kwingi sana kunakowapitia wanajf humu ndani kuhusiana na huyu jamaa.
Kuna picha yake moja watu walijaribu kulinganisha kutafuta vinasaba vya kimwili na kuona kwali anavinasaba hivyo kwa muhusika na hata kwa mtoto wa muhusika na ata huyo mwingine ukimkusanya na yeye kiasi fulani wanakimwonekano kinachoelekea manake mtu apotezi chjake ata kucha, au unyayo sembuse paji la uso, midomona pua ndio usiseme.
Sasa nakiuliza inakuaje dogo anakuja kwa bro na kauli ya hivi.............Itabdi mkuu wa kaya wamkarishe huyu dogo kama kweli anahusika manake vinginevyo kwa kauli za hivi huyu dogo tatizo anapaswa kufahamu mila za kwao kuwa MKUBWA anachaguliwa ajichagui..Sasa kauli zake za ajabu ajabu kama vile ajajiua anatoka koo za machifu basi ajifunze koo za machifu uwa azichekiwi anavyojaribu kutuonyesha humu ndani.Basi vinginevyo yeye anayelazimisha matumizi ya jina hilo atakuwa CHIFU dom ishakataa kuwa si damu yao na kilichotekea kufanana ni mapenzi ya Mungu, kama ambavyo washili useme Mwanaume asiye kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke, na ni marafiki wa kawaida na akawa na mimba akizaa mtoto basi mtoto yule kwa uumbaji wa ajabu wa Mungu mtoto anaweza kutoka anafanana na jamaa husika.Sasa kama hizo ni ngano za wahenga bais zilikua na mifumo ya kustahi na kuhifadhi mambo mazito ya watu wazima.
Nikilejea kauli za Yericko, kama hakubaatika kupewa fursa ya kuijua familia ya anakojitanabaisha nayo bais ni fursa ya kumuomba mkuu wa kaya hiyo [Msemaji Mkuu wa Ukoo] wampe mwongozo hasa linapokuja kwenye mambo mzito na makubwa ya kuelekea kuomba kupewa kiti cha kuitumia Nchi kama RAIS.
Kama ni wa damu na tayari anaonyesha kuoppose kama mtu ambae hayuklo kwenye mahusiano ya kidamu,basi mtoaji ANAJITAFUTIA MATATIZO na ndio ishara ya WANAUCCM mara wanaona si mtu sahihi kwa familia tajwa.
Wazungu awakuokosea kusema Ukarimu Uanzia Nyumbani [Charity begings At Home] sasa ukarimu wa huyu jamaa kwa familia anayojinasabisha nayo mpaka watu wnafikia kumuona kama kweli ni kiumbe wa mtu husika anatoa wapi povu kuonge maneno ya ajabu kumuhusu mwanafamilia.
Au ndio ile tukose......wakati issue hapa ni Mzaliwa aliyechaguliwa kwenye familia ...mie nilimchukulia mleta thread kama mambo ya Rais wa Ufransa marehemu Francois Mitterand na binti yake Mazarine au kijana anaesemekana wake Hravn Forsne na kuwa kuna siku atajitambua na kubeba image ya kweli kweli na huko siku za mbele itamsaidia.
Yericko kama unavinasaba na Mwalimu au vinginevyo iwe vyovyote amu ulichaguliwa na Mwalimu kuwa mtoto wake wa kuhasi basi acha mchezo linapokuja swala la mambo ya VITI na liheshimu sana sana.Tena koma koma koma nakuomba kwa kuwa kama ujui habari za machifu tafuta chifu yoyote yule umuulize huo ni mziki mwingine hizo habari za Ujah men kwa pande hizo kaa mbali kabisa isije ikawa hadithi....paukwa pakawa..alitokea deshi deshi kapanda naniliii.
Lakini kama unatofauti zako na mtaka nafasi na unatumia lugha hiyo kujenga mazingira mabovu basi jua ni SIFURI na itakura kwako kwa kuwa Tanzania bado ina wazee na yakiwafikia na wakakuona wewe ni tatizo maweeeeeeeee......lugha ya mtani wa mtu hiyo....manche ga nyansa mie simo....
Usifuate uchifu wa kupeana kwenye viti vya siasa hiyo uwa ni maigizo uchifu uwa unaflow na damu baba.....waombe wakufundishe ujifunze tofauti zako na watu wa ndani ya nyumba zifute linaokuja jambo la kuongoza Taifa.
Km unalazimisha hivyo siwezi kataa..ila familia ya Nyerere wana lao rohoni..wamevumilia mengi sana Tangu na hata Kabla mzee hajaliacha taifa.Mkuu..... Makongoro hakuanguka kwa sababu Mwalimu hayupo....Alishindwa kidemokrasia katika uchaguzi, na alikubali matokeo na bado ameendelea kuwa mwana CCM mtiifu... Alianguka kwa sababu ya kura zake kutotosha katika uchaguzi wa viongozi wa ndani wa CCM mwaka 2012....Ikumbukwe kwamba alichaguliwa mwaka 2007 , miaka 8 tangu Mwalimu afariki...Kama kigezo ni uwepo wa Mwalimu basi asingechaguliwa na wan CCM wa mkoa wa Mara katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM mkoa mwaka 2007. Pia kumbuka kwamba Charles Makongoro Nyerere ni mtoto pekee wa kuzaliwa na Maria na Julius Nyerere kuwahi kuwa mwanachama na Mbunge wa chama cha upinzani(I stand to be corrected).... Makongoro alikuwa Mbunge wa Arusha kwa tiketi ya NCCR - Mageuzi kuanzia mwaka 1995 (Mwalimu alikuwa hai, yet mwanae alikuwa upinzani).
kapite akili yako inayokupa hizo thought ambazo si reality.Nani kakuambia Familia ya baba wa taifa tuu ndio ina haki miliki ya jina NYERERE?watu huwepwa majina yaliyo nje ya jamii zao kutokana na matukio waliyozaliwa na mwenye jina alifanya nini?wengine ni majina ya jamii zao ila yana maana tofauti..tafuta neno BIBIAma kweli neno msaliti fits many people, I thought u were part of the Nyerere family, kumbe wewe ni FAKE product.
Kumbe wewe si wa ukoo ule?Wanajamvi,
Mtakumbuka huko nyuma niliwajuza hali ya siasa ndani ya ccm na matarajio ya ccm kutegemea familia ya mwasisi wa taifa hili kushinda uchaguzi hapo octoba,
Makongoro kupitia gazeti la mtanzania anasema sasa anasubiri tu kipyenga cha mwamuzi, na kwamba familia ya mwasisi huyo wamemeza siri kubwa kuhakikisha mtoto huyu wa Julius Kambarage Nyerere anafuata nyao za akina Uhuru Kenyata, Aman Karume, Kabila, nk.
Siasa za ufalme sasa zajichomoza wazi ndani ya ccm hii ni baada ya ubunge wa akina Ridhiwani, Mgimwa, Vita Kawawa, Husein Mwinyi kuukwaa
Una akili fupi sana mkuu pamoja na maelezo yako yote mareeeefu
Hichi Ni Kiibrania Au Kiyunan
Yericko....
Kila Mtanzania mwenye sifa ana haki/uhuru wa kugombea nafasi yoyote ile bila kujali anatoka familia/ukoo/kabila/kanda/mkoa gani......
Binafsi sioni tatizo hapo mradi tu wahusika wanashiriki michakato ya Kidemokrasia (uchaguzi ndani ya vyama na baadae uchaguzi mkuu)...Ingekuwa hao akina Ridhwan, Makongoro et al wanarithishwa madaraka pasipo michakato ya uchaguzi hapo kungekuwa na tatizo....
Hata nchi ambazo tunazoona zimekomaa kidemokrasia (role models wetu) nazo zina huu mtindo unaouita wa 'kifalme'...Mfano mzuri ni Marekani ....George H.W. Bush -> George W. Bush ma sasa John Ellis 'Jeb' Bush....
Pia Bill Clinton na sasa Hilary R. Clinton....
Mifano ni mingi tu...Hata India anzia kwa Jawaharlal Nehru ->Indira Gandhi->Rajiv Gandhi na inaonekana Rahul Gandhi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais wa INC atakuja kuwa PM wa India miaka ijayo....Achilia Mbali mama yake Sonia Gandhi ambaye ni Rais wa INC....
Pia Argentina imeongozwa na mtu na mkewe....Nestor Kirchner (mume) na Cristina Fernandes De Kirchner ambaye ni Rais wa sasa.....
Vilevile Thaksin na Yingluck Shinawatra ambao ni mtu na mdogo wake wamewahi kuwa PMs wa Thailand kwa nyakati tofauti.....
So hata hao akina Makongoro, Ridhwan, Vita, Hussein Mwinyi wana haki ya kikatiba ya kugombea uongozi wa nchi na ndani ya vyama vyao....Na hili halipo ndani ya CCM pekee....Hata ndani ya vyama vingine vya siasa Tanzania utakuta baba, mama na mtoto au kaka na dada wanashika nafasi ndani ya vyama au za uwakilishi...Mfano Philemon Ndesamburo na Lucy Owenya (binti yake) na Grace Sindato Kihwelu (Mkwewe) ama Tundu Lissu na Christina Lissu n.k....Hapa hakuna ufalme wa aina yoyote, ni kwamba hawa watu wametumia haki yao ya Kikatiba kugombea uongozi ndani ya vyama vyao na baadae kuchaguliwa na watanzania(wa maeneo wanakotoka) na kuwa wawakilishi wao bungeni.....
Kinachotokea Tanzania ni tofauti na kilichotokea Togo, DR Congo na kwingineko ambako watoto wa marais wamerithishwa madaraka ya wazazi wao mara baada ya baba zao kufariki....
Tuiache Demokrasia ichukue nafasi yake.
Bala.
Ama kweli neno msaliti fits many people, I thought u were part of the Nyerere family, kumbe wewe ni FAKE product.
Ashajichokea huyo...achana nae...akahangaike na ukawa!Haya bhana ata kama ni devil advocate way-basi marketing strategy hiyo ni poor na haifai kutumika hapo buni nyngine.Ila usije kusema atukukwambia wengine tushasema ....tutakumbushia thread kama ushahidi.
Dongo nilitaka kumpa taarifa ajitambue naona ajui chochote kuhusu chifudom na familia kwa ujumla.Akitaka kujua ukali wa chifudom ata Mwanafamilia wa kualikwa kwenye familia nae akiingia uwa anawajibu wa kutambua miiko na nidhamu ya familiana ndio maana upewa vitu fulani fulani kushika mkononi na kuketishwa sehemu maalum kwa ajili ya kupokea habari hiyo, kama ujio wake kwenye familia sio wa kidamu.Ashajichokea huyo...achana nae...akahangaike na ukawa!
nani kakuambi jina ni la Nyerere?Nyerere ni jina..kila mtu anaweza copy toka kwa yeyote aliye nalo km kapendezwa na kulitumia.Huyu mpuuzi anatumia jina la Nyerere kupata kick kwenye utapeli wake. Hivi ameshamlipa Olouch laki 2 zake?
nani kakuambi jina ni la Nyerere?Nyerere ni jina..kila mtu anaweza copy toka kwa yeyote aliye nalo km kapendezwa na kulitumia.
Hicho ndicho hata Mimi nilishawai kuuliza ameifanyia nn nchi hii mpaka apate baraka Za watanzania kumchagua kuwa kiongozi wao? Kama sifa ni ulevi aliokuwa anaufanya pale Arusha basi anastahiliAmefanya nini hasa katika nchi hii kama raia wa kawaida? Hawa watu wanadhani Urais ni kitu Rahisi eti? Wamuulize Kikwete!!!!!
natumaini upuuzi wako unaweza tofautiana naye kidogo sanaAko ka bwana mdogo nakajua hilo siyo jina lake kanatumia jina la nyerere kujipatia umaarufu na pia kuleta upinzani ktk familia ya mwalimu!!! Kanajidai kajitu ka iringa lakini kwao ni mara ka kurya!! Kati ya wapuuzi wachache wanaotumiwa na iwasaka tonge!!!!!!