Aliipigania tanzania ktk vita vya uganda akiwa na miaka 18.Hicho ndicho hata Mimi nilishawai kuuliza ameifanyia nn nchi hii mpaka apate baraka Za watanzania kumchagua kuwa kiongozi wao? Kama sifa ni ulevi aliokuwa anaufanya pale Arusha basi anastahili
Nini kimekupa uhakika leo? kweli ni rahisi sana kuwadanganya BAVICHA!Nimeona Mtanzania la jumapili ya Leo, mimi nilikuwa wa kwanza kumbishia Yerico miezi mitatu iliyopita, Leo nakupa Salute mkuu we ni Noumer
Nini kimekupa uhakika leo? kweli ni rahisi sana kuwadanganya BAVICHA!
Ako ka bwana mdogo nakajua hilo siyo jina lake kanatumia jina la nyerere kujipatia umaarufu na pia kuleta upinzani ktk familia ya mwalimu!!! Kanajidai kajitu ka iringa lakini kwao ni mara ka kurya!! Kati ya wapuuzi wachache wanaotumiwa na wasaka tonge!!!!!!
Kwa ccm hata asimamishwe Yesu au Mtume Mohamed hafai kutawala nchi hii
nimmetafuta gazeti la Mtanzania la jumapili nimeonaNini kimekupa uhakika leo? kweli ni rahisi sana kuwadanganya BAVICHA!
Na, ukaamini, au sio?nimmetafuta gazeti la Mtanzania la jumapili nimeona
Mimi nnauhakika Andrew Nyerere angefaa zaidi kuwa Rais.
Faiza, ningefurahi kama ungetupa yaliyomo kwa mtu huyu mpaka afae kuwa Raisi wetu..
Ccm ni chama kikubwa kinachoongoza Africa.ccm ikianguka Africa imeanguka!!!!
Kwa taarifa yako Nyerere hakuwa hi kuwa maarufu kuliko ROnaldo De Lima,Ila kuna ronaldo mwingine kaja.Acha upuuzi wa kusema kwamba kuwa famous ndipo kunafanya kitu kiwe kama..hiyo kama haifanyi kiwe halisi...Trademark ni kitu ya kisheria na inakata mwingine asitumie.Km ilivyo kwa Ronaldo anaweza ibuka Nyerere mwingine nje ya kizazi cha huyu Nyerere na akapasua dunia kuliko Nyerere wa Burito na dunia ikamkubali kuliko.Sijui km hata hilo la Baba wa taifa litakuwa na umuhimu tena au litaongezeka thamani.Tatizo unabisha for the sake of kubisha kuna majina yapo famous kiasi ambacho yanakuwa kama trademark .Ukitaja Mugabe watu wanaelewa una refer Rais wa Zibwabwe. Tanzania unapozungumzia Nyerere watu wanaelewa ni hayati Baba wa Taifa.Ukisema Karume likewise . Halafu unaniuliza nani kaniambia ni jina la Nyerere! ! Ni yupi huyo unaye m refer kama sio the obvious one.
Haha..kweli mkuu..... kuingia CCM tuu kunakuondoa utakatifu na kukufanya najisi kwanza ndipo uwe mwanachama...Kwa ccm hata asimamishwe Yesu au Mtume Mohamed hafai kutawala nchi hii
Hivi wewe Yericko ni wa ukoo upi? Ule wa Matombo Morogoro au? Halafu ninyi Chadema kweli siasa zimewashinda, sasa kila anaetajwa ndani ya CCM mnamponda mbaya, tuambieni sasa ninyi mnamtaka nani ndani ya ccm au hilo jukumu mnamtaka tuwape mtutaftie mgombea urais ndani ya ccm? Basi rudisheni kadi za Chadema tuwape za ccm mmependekeze mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi
Mkweli ktk yepi weye?Ktk kila kitu,vitu fulani au nini?Ukweli ni Absolute...ila usemaji wa hiyo KWELI ni very relative...hata kwa msemaji wake tuu ,kunaweza mchanganya.NDIO KWELI IPO KTK NENO LA MUNGU TUU.Mkweli.