Tunaheshimu maamuzi ya mahakama maana sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Kama ilikuwa ni haki ya Mahanga kushinda basi itabaki hivyo ila kama hakushinda kwa haki basi tusubiri ya Arumeru Mashariki..... sijamaanisha kwamba atakufa bali haki itapatikana hata kama ni nje ya mahakama.
Pole....jipangeni tena upya!!Wameshaniharibia siku
Manyanza nilishasema toka awali kwamba ripoti ya TAKUKURU kuhusu Richmond zilikuwa mbili na Lowasa ndiyo aliamuru ile ya kwanza isipelekwe.Matola. mkuu vp hukumu yako ilikua feki
Wakuu,
Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.
Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.
Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi
Hata mimi sikutegemea kwamba Makongoro atashinda. Lakini tujenge utamaduni wa kuviamini vyombo vyetu vya mahakama. Kama tulivyokubaliana na maamuzi ya huko Singinda, Biharamulo na Sumbawanga. Nadhani mahakama zina uhuru tuupalilie huo uhuru.