Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Div III aliipataje au alipewa kama zawadi?

Maana huku kijijini kwetu koromije hakuna mwanakijiji hasiejua kuwa alizungusha.
Ukibadili jina na zero inafutika inakuwa Div 3?.Uzuri Paul Christian M yupo kwa nini Mkuu asichutame yakaisha? anavyong'ang'ania kusimama kila mtu ataona utupu wake.
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Hivi bado benchi liko lumumba au limehamshwa?
 
Ni kweli, ila kununua elimu ya mtu ni makosa kisheria.
Na hapo ndipo penye utata suala la kubadili jina kwa kiapo lipo kisheria na suala la kutumia vyeti vya mtu mwingine ni kosa kisheria sasa ukweli utawekwa wazi kama pana ovu limetendaka sheria ichukue mkondo wake na si blah blah
 
Huyu makonda alitakiwa ajitambuwe yeye mwenyewe angejitambua angefika mbali sana kajilipuwa mwenyewe kajimaliza kabisa sijuwi ataokolewa vip alisahau kuwa anakula na vipofu!!🙂
Kupiga kazi anapiga kazi ila hakuna njia ya kumuokoa na hana wa kumlaumu kajimaliza mwenyewe🙂🙂🙂!
 
Kweli buana yuko sahihi,si yeye tu bashite wapo wengi tu walobadili majina ila chadema wamekomalia hii ishu balaaa
Kweli kabisa mkuu wanapiga tarumbeta hadi wanaboa sasa washasahau bahari ya njaa Makonda ndio RC wa Dsm... kwisha habari yao
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
WE HUJUI LOLOTE UNATAKA TU KUMCHUZA BASHITE..
Hivi unajua kilichokichwani mwake DAUDI?
Usijisemee tu bila kujua DAUDI alifanya vile kwa sababu gani.
we haupo moyoni mwake eti ujifanye alichofanya DAUDI ni halali.. we mpoteze tu.
NA SASA HIVI TUMEPIGA KAMBI KUU HAPA ''call me J'' tunakamilisha mchakato alafu tukirudi na wewe shabiki ubwabwa ujitokeze kumsaidia huo ujuaji wwako
 
Mbona kamishna wa mamlaka ya kupambana na madawa hashambuliwi?Why makonda?Jibu simple,ni kwasababu kuna ukakasi kwenye vyeti vyake!Kununua cheti ni uhalifu na udanganyifu![HASHTAG]#acha[/HASHTAG] maneno weka cheti
Why Makonda yes indeed kwa kuwa yeye ndiye aliyeanzisha. Na nini kiini cha kuteuliwa huyo kiongozi? Labda nikupe tu taarifa ambayo huijui. Kwa Tanzania bara methadone iliisha ikabidi kuja kuomba huku Zanzibar ( mi ni mbara nafanyakazi Zanzibar) ili iwanusuru wala madawa ya kulevya as hayapatikani. Unajua ni juhudi za nani?!?!?! hebu mkiwa mnalalmika kuhusu yaho mavyeti hebu angaliane basi hata positive effect! Au mnayaoenda hayo madawa ya kulevya?!?!?!?!/
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
kwan wanauliza kubadili jina???
 
unamjibia hoja wewe ni nani kwake? personal secretary au....wake ?
 
Why Makonda yes indeed kwa kuwa yeye ndiye aliyeanzisha. Na nini kiini cha kuteuliwa huyo kiongozi? Labda nikupe tu taarifa ambayo huijui. Kwa Tanzania bara methadone iliisha ikabidi kuja kuomba huku Zanzibar ( mi ni mbara nafanyakazi Zanzibar) ili iwanusuru wala madawa ya kulevya as hayapatikani. Unajua ni juhudi za nani?!?!?! hebu mkiwa mnalalmika kuhusu yaho mavyeti hebu angaliane basi hata positive effect! Au mnayaoenda hayo madawa ya kulevya?!?!?!?!/
Kwahiyo ahurumiwe kisa anapambana na madawa ya kulevya?Ni wangapi ambao kwa nafasi zao wamefanya vizuri ila haijaangaliwa record yao na badala yake wametumbuliwa kwa vyeti feki!Unaujua msimamo wa Rais juu ya vyeti feki?
Ifike mahala tusiwe na double standard,sheria ifanye kazi bila ubaguzi!Kama basi utendaji wa mtu unahalalisha vyeti feki basi iwe kwa wote!
Cheki msimamo wa Rais juu ya vyeti feki
 
Why Makonda yes indeed kwa kuwa yeye ndiye aliyeanzisha. Na nini kiini cha kuteuliwa huyo kiongozi? Labda nikupe tu taarifa ambayo huijui. Kwa Tanzania bara methadone iliisha ikabidi kuja kuomba huku Zanzibar ( mi ni mbara nafanyakazi Zanzibar) ili iwanusuru wala madawa ya kulevya as hayapatikani. Unajua ni juhudi za nani?!?!?! hebu mkiwa mnalalmika kuhusu yaho mavyeti hebu angaliane basi hata positive effect! Au mnayaoenda hayo madawa ya kulevya?!?!?!?!/
Halafu kuhusu kamishna wa mamlaka,bunge lilikuwa limeshatunga sheria na kutiwa saini kuwa chombo hicho kiwepo!Na wabunge wakaikumbusha serikali juu ya chombo hichi,Ester akiwa mmoja ya waliohoji!
 
Binafsi jamaa ajitojeze hadharani aombe samahani mi binafsi nitamsamehe!
Nimeingiwa na huruma kweli leo
Sasa wewe ndo nani mpaka uombwe samahani na Makonda?[emoji23]
Wale wale akina Gwajima eti Mimi kua rais ni kujishusha wakati akipelekwa central anazimia[emoji23]
 
mimi ni mwajiri wake mkazi wa daresalaam
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .

Baada ya kupata uhakiki kwamba jamaa yenu amenunua vyeti kwa hiyo unakuja na hoja ya kubadili vyeti.Kosa la kwanza ni kuforge vyeti wakati Daudi Albert alipata division zero
 
Badili jina kwa cheti chako lakini si kwa cheti cha mtu mwingine,sheria haziruhusu kitu kama hicho. Makonda hayuko sahihi. Kumbuka watu wamekimbia kazi zao kwa tatizo hilo iweje yeye awe sahihi kwa kutumia cheti cha mtu mwingine?? Wakati tatizo ni lilelile?? Je kuna watu ambao wako sahihi na wengine hawako sahihi,sheria ni msumeno,makonda hayuko sahihi sheria zitumike kutatua swala la makonda.
 
Hiii issue sio ya CHADEMA in issue ya kitaifa swala MTU kufoji vyeti hata muheshimiwa MAGU hakubaliani nalo. Sasa iweje uone kama hii ni vita ya CHADEMA. wee ndo KENGE kwl.
 
Back
Top Bottom