Makonda vs ITV

ITV wanaonyesha umakini.Kwa umakini ule,hawawezi kuvumilia upuuzi kama tulivyo wengi.
 
ITV wanatambua thamani yao. Umbea na ushambenga wa Daudi Bashite tupa kule. Udaku wa Daudi ni size ya tbccm, channel 10, azamtv na klaudstv. Hao ndio wapenda udaku na sifa za kijingajinga.
 
Ngoja tuone wapiganapo mafahari wawili ziumiazo ni nyasi kwavile ITV itabakia kuwa I TV na Makonda atabakia kuwa Makonda na kazi yake ya ukuu wa Mkoa tena ule Mkoa uliyochangamka kuliko mikoa yote kama si hapa Tanzania basi hata AFRIKA mashariki na kati.
 

Nijuavyo siku zote ni kwamba Super Brand huwa haipendi ushirikiano na Zero Brand hivyo sioni tatizo kwa ITV kutoifanyia coverage ya Mr. Zero Brain Bashite Koromije. Hongereni sana na mno ITV na ama kweli sasa nimekubali kuwa nyie ni Super Brand tv Station in East Africa na Kazeni hivyo hivyo hakuna kumtangaza kudadadeki zake.
 
TBC1 ilovyokua walivyoonesha katika habari ya SAA 2:00 wewe ulikua wapi?
Kutimiza mwaka wake mmoja akiwa kama RC DAR
 
Ni ujinga kujigeuza tume ya Utumishi wa umma ili ukague vyeti vya Mkuu wa Mkoa, si muhoji kwanza vyeti vya Mbowe?
Sikuwahi kumuunga mkono bwana yule lakini kwa msisitizo wa kipaumbele chake kweli aliona mbali.
 
Mikoa ipo mingi, kwann dar pekee? Media zituhabarishe na mazuri ya wakuu wa mikoa mingine. Rukwa, Singida, Tabora, Shinyanga n.k Kuutangaza mkoa mmoja tu ndio kinachopelekea msongamano usio na tija kwenye mkoa wa dar, media zitangaze fursa kwenye mikoa mingine twende huko. Sasa imekuwa hata anniversary nayo ni bonge ya news kweli. Media ziwe serious zaidi aisee.
 
Najiuliza tu habari ingekuwa vipi?

Mkuu wa mkoa atimiza mwaka mmoja kazini.. Ujinga!

Wametimiza wengi lakini hawana muda wa kufanya vituko!
 
Mtaongea lugha zote duniani lakini sijiudhuru na wala sitoki ng'oo
 
Clouds watarusha, nadhani hata shilawadu wataiongelea pia
 
TBC waliionyesha?
 
ITV hawaonyeshagi habari za vilaza waliofoji Vyeti. nndio maana inaitwa super brand. Bashite weka vyeti
Kwani Makonda ni mchaga?
Ile ni chaga tv. Ukiwa mchaga hasa unatoka kwenye kile chama chao utapewa kipaumbele
 
Kwani Makonda ni mchaga?
Ile ni chaga tv. Ukiwa mchaga hasa unatoka kwenye kile chama chao utapewa kipaumbele
Ukiwa unafikiria ukabila kichwani mwako, automatically wewe ni mkabila.Toa ukabila hapa.
 
Hakuona umuhimu wake
 
Kutangaza habari za Daudi Bashite ni sawa ni kum-promote mwizi wa kitaaluma anayelipwa kwa kodi zetu lakini hana vyeti halali! Acha hii kazi afanye chapa ya ng'ombe mwenzake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…