... Nadhani watakuwa Wanasubiri atoe vyeti...Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Cc: faiza foxyHawajui watumie jina lipi,kati ya Makonda au Bashite.
Kwa na mawaziri na wenyewe wafanye?Kila mtu akifanya anniversary ya mwaka mmoja kazini bas ITV wangeripot kila siku haya matukio..... cheap politics
Kwani mpaka sasa hujajua kwanini hakuna bunge live?? Tatizo sio gharama ....Ni gharama kurusha bunge live.. Lakini anameweza kurusha live bashite anniversary
Bunge live tunapumguza gharamaNi gharama kurusha bunge live.. Lakini anameweza kurusha live bashite anniversary
HahahaHawajui watumie jina lipi,kati ya Makonda au Bashite.
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Kwahiyoo tbc ni changa ?duh..............haya mkuuAcha warushe upuuzi huo una manufaaa gani wawaachime television changa kama TBC na Clouds ambazo bado zinatafuta publicity. Thanks ITV
Hata magazeti ya leo Jumatano yote hayakumpa uzito kuhusu ziara yake ya mabondeni jana, isipokuwa Uhuru na Habari Leo. Yalimpuuza! Kwa mwendo wa serikali hii vyombo vya habari, kama vikiamua, vinaweza kusaidia!Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.