Makonda, Sirro; What goes around comes around

Makonda, Sirro; What goes around comes around

ngoja tuone episode alizozianzisha zitaishaje
 
Ila wabongo ndo tumechangia kufika hapa. hivi tungefanya ghasia ili katiba mpya ipatikane kipindi kile, what if tungemchagua Lowassa na tukamwepuka huyu M-lofa called president, what if tusingekubali matokea na tukawa tayari kwa lolote? what if watu tukiamua kumtoa kwa nguvu madarakani na hata kwa kum-assassinate pale inapobidi?....whatever the answers! kwa sasa tungekuwa na habari nyingine kabisa...probably watu wangeishi kwa amani zaidi
hii ungefuta tu for your own good!
 
Jambo ili limenifuraisha sana maana leo watanzania bila shaka mtakubari kua kuna watu wako juu ya sheria..
 
Ujinga ni pale unaposema watatafutwa popote walipo wakati unajua kabisa kwamba watafutaji wenyewe ndio hao wanaowapa kiburi.
 
Mnashabikia kama vile kesho upinzani utaingia serikalini.

Vya maana kusaidia wananchi hakuna bali porojoooo za kutafua kiki zisizo saidia wananchi.

Mh. JPM oyeeeeeee

We mwanamke! Dah! Mbona tena wapasuka vibaya hivyo?? Hizi comment zoote waona ni ushabiki?? Kumbe ndo nyie mnamshauri vibaya mkuu hata anatamka yasotamkika hadharani?? Kumbe sasa twajua, hotuba zake huandikiwa na vichaaaa.
Hayo alofanya makonda waona kuwa ni ya kuisaidia jamii?? Kuwatibua hao wauza unga kuwa sachi inakuja kwako kesho kutwa tena kwa media halafu unamwambia njoo mwenyewe ukatuchukue tukasachi kwako baada ya wewe kuuharibu mzigo wote unaona hiyo ndio kuisaidia jamii.
Ningelikuwa mimi ni weye, ningejipeleka mwenyewe kwa Siro. Naona unabwia.
 
Makonda amejipa cheo cha waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani, msemaji wa rais........

I Hope katika hili alilolifanya makonda kwa kutaja watu bila kufikiri, litakuja na funzo ambalo hata lisahau
Wanasema Bwana Daudi Albert knows how to massage the ego of his superior.
 
Nimekuwa nikitazama kwa mshangao mkubwa kwa namna ambavyo hawa ndugu zangu wameonewa kwa kungolewa jicho la tatu, hii dunia ni ya kutenda wema tu na si kutanguliza chuki na uhasama kwani katika kupanda chuki mavuno yake ni zaidi ya chuki.

Nilikuwa najiuliza kwa namna bwana mdogo Makonda alivyotanguliza Ujuaji mwingi na Sirro wake kwa kuwataja watu majina yao ka jambo ambalo hana uhakika nalo, sikujua kiburi anapata wapi, nimeshtuka baada ya kusoma habari nyingi kwenye mitandao zikidai wote haw wawili wamekimbia samansi, jamani huu ni mwanzo kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kazi kubwa ipo mbeleni, hii mtafuatwa popote ambapo mtakuwepo, mtaletwa hata kwa kufungwa kamba, dunia hii si sehemu ya kujivuna na kutanguliza hisia badala ya akili, mfikishie ujumbe huu bosi wenu, Mungu wetu hajalala.

''what goes around comes around''

HIZI NI DALILI MBAYA KUPATA KUTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA.

TUSUBIRI, MWISHO WAKE UPO.
Eeh Mungu ibariki Mama Tanzania!
 
Back
Top Bottom