Makonda, Sirro; What goes around comes around

hili swala la mtu kuingilia muamala watu mwingine nahsi kuna mtu alitumbuliwa kwa kutangaza ishu flani hivii, lakink hili swala mtu kastopishwa tuu

mafahali wawili wakipigana.....
 
Rais wa mkoa akimbie samansi kwani malaika mkuu amesafiri?
Haya ni maswali nilikuwa najiuliza au piloto kagoma kusikia maagizo toka juu

Hakuna Cheo kinachoitwa Rais wa Mkoa.Kuna Rais wa Tanzania,Rais wa Chuo,Rais wa Zanzibar,Rais wa Yanga nk.Mkoa una Mkuu wa Mkoa tu.Acheni kujidhalilisha.
 
Ila wabongo ndo tumechangia kufika hapa. hivi tungefanya ghasia ili katiba mpya ipatikane kipindi kile, what if tungemchagua Lowassa na tukamwepuka huyu M-lofa called president, what if tusingekubali matokea na tukawa tayari kwa lolote? what if watu tukiamua kumtoa kwa nguvu madarakani na hata kwa kum-assassinate pale inapobidi?....whatever the answers! kwa sasa tungekuwa na habari nyingine kabisa...probably watu wangeishi kwa amani zaidi
Wazee wetu dkt Slaa + Lowassa, ni watu wenye hofu ya Mungu. Huwa wabapenda kumuachia Mungu aamue
 
Nimekuwa nikitazama kwa mshangao mkubwa kwa namna ambavyo hawa ndugu zangu wameonewa kwa kungolewa jicho la tatu, hii dunia ni ya kutenda wema tu na si kutanguliza chuki na uhasama kwani katika kupanda chuki mavuno yake ni zaidi ya chuki.

Nilikuwa najiuliza kwa namna bwana mdogo Makonda alivyotanguliza Ujuaji mwingi na Sirro wake kwa kuwataja watu majina yao ka jambo ambalo hana uhakika nalo, sikujua kiburi anapata wapi, nimeshtuka baada ya kusoma habari nyingi kwenye mitandao zikidai wote haw wawili wamekimbia samansi, jamani huu ni mwanzo kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kazi kubwa ipo mbeleni, hii mtafuatwa popote ambapo mtakuwepo, mtaletwa hata kwa kufungwa kamba, dunia hii si sehemu ya kujivuna na kutanguliza hisia badala ya akili, mfikishie ujumbe huu bosi wenu, Mungu wetu hajalala.

''what goes around comes around''

HIZI NI DALILI MBAYA KUPATA KUTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA.

TUSUBIRI, MWISHO WAKE UPO.
Aaa wapi! These are over and above the law mtawafanya nini?
 
Ila wabongo ndo tumechangia kufika hapa. hivi tungefanya ghasia ili katiba mpya ipatikane kipindi kile, what if tungemchagua Lowassa na tukamwepuka huyu M-lofa called president, what if tusingekubali matokea na tukawa tayari kwa lolote? what if watu tukiamua kumtoa kwa nguvu madarakani na hata kwa kum-assassinate pale inapobidi?....whatever the answers! kwa sasa tungekuwa na habari nyingine kabisa...probably watu wangeishi kwa amani zaidi
Mkuu,,
Chunga sana
 
Hakuna Cheo kinachoitwa Rais wa Mkoa.Kuna Rais wa Tanzania,Rais wa Chuo,Rais wa Zanzibar,Rais wa Yanga nk.Mkoa una Mkuu wa Mkoa tu.Acheni kujidhalilisha.
Satirical approach (literature)
 
Nimekuwa nikitazama kwa mshangao mkubwa kwa namna ambavyo hawa ndugu zangu wameonewa kwa kungolewa jicho la tatu, hii dunia ni ya kutenda wema tu na si kutanguliza chuki na uhasama kwani katika kupanda chuki mavuno yake ni zaidi ya chuki.

Nilikuwa najiuliza kwa namna bwana mdogo Makonda alivyotanguliza Ujuaji mwingi na Sirro wake kwa kuwataja watu majina yao ka jambo ambalo hana uhakika nalo, sikujua kiburi anapata wapi, nimeshtuka baada ya kusoma habari nyingi kwenye mitandao zikidai wote haw wawili wamekimbia samansi, jamani huu ni mwanzo kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kazi kubwa ipo mbeleni, hii mtafuatwa popote ambapo mtakuwepo, mtaletwa hata kwa kufungwa kamba, dunia hii si sehemu ya kujivuna na kutanguliza hisia badala ya akili, mfikishie ujumbe huu bosi wenu, Mungu wetu hajalala.

''what goes around comes around''

HIZI NI DALILI MBAYA KUPATA KUTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA.

TUSUBIRI, MWISHO WAKE UPO.
Leo tena mahakama zimeaminika??
 
BABA GWAJIMA ZIDISHA MAOMBI NAONA PEPO CHAFU LINAANZA KUCHOMOKA

Ahsante kwa kuifanya siku ya leo kuwa ya kicheko...!! Tangu asubuhi sijacheka wala kutabasamu...!! Ahsante sana...!!

Tafakari...!!
 
Mnashabikia kama vile kesho upinzani utaingia serikalini.

Vya maana kusaidia wananchi hakuna bali porojoooo za kutafua kiki zisizo saidia wananchi.

Mh. JPM oyeeeeeee
Hiv coco alie kutangazia ndoa msukuma ni wewe ama kuna mwingine?
 
Back
Top Bottom