Tetesi: Diamond vs Harmonize:what goes around..

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
415
250
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu kuondoka wcb.wengine wakienda mbali na kusema atashuka kimziki.mara ndo mwisho wake..Nimeandika haya kuwakumbusha Watanzania sisi wasahaulifu ya kwamba "what goes around comes around "amini hivyo.
Diamond baada ya kuvuna fadhila za kutosha kwa Bob junior producer wake wa kwanza kumtoa . Wote tuliona namna ambavyo aliondoka kwa ugomvi..tena wa kutokusemeshana.
Watanzania hawa hawa wakasema mara atashuka kimziki mara mziki wake umefikia mwisho..kwani nyie mmekuwa manabii mpaka muwatabilie watu yajayo..
Diamond baada ya kuvuna fadhila alizopewa na meneja wake wa kwanza Papaa Misifa..aliondoka pale kwa ugomvi mpaka kudaina pesa. Diamond akaja kumlipa papaa baadaye akiwa na meneja mwingine
Diamond baada ya fadhila alizopewa na marehemu Ruge.kumuandalia shows,kumtangaza na mengine tuliona kilichotokea.mpaka anafariki Ruge,maelewano baina yao yalikuwa hamna.
Kuna na habari zisizokuwa rasmi kuwa hata Ali kiba aliwahi msaidia Diamond katika harakati za mziki. Vipi mawasiliano yao leo.
Kwa hiyo basi hapana jipya linalotokea WCB analolifanya harmonize. Ndo yale yale aliwahi kuyafanya Diamond kwa watu waliombeba na kumfadhili lakini alipopata alichokihitaji aliwaambia wanamdhulu,mara wanamnyonya,hawataki afike mbali.mwisho akaondoka na kwenda kunzisha maisha yake.jambo ambalo ni jema.
Suala la msanii kuachana na menejimenti yake hata kama ilimpa kila kitu .yeye akaenda kuanzisha maisha yake nje ya hiyo management sio Dhabi. Mbona hata America inafanyika tumemuona Lil Wayne alivyoachana na birdman. Kumbuka birdman kamlea Lil Wayne akiwa bado kinda mpaka anakuja kuwa msanii mkubwa. Walipopishana Lil Wayne akaondoka chini ya lebo ya Cash money.
Mwisho harmonize ni msanii mkubwa kwa sasa anahitaji nyumba yake na sio kuwa chini ya nyumba ya mtu. Jambo la kutoka WCB ni busara za juu na maamuzi magumu lakini yenye tija.Awekee bidii tu atafika. Anapopalenga .
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,402
2,000
Nafkr kubaniwa kolabo na Davido kwenye wimbo wa Kwangwaruu ndo kulimuumiza Sana Harmonize, Ila still mi naona kama kaingia Choo cha kike, ni kweli Jembe amempigia chapuo kwenye baadh ya shooo za nje hvi karibuniii ikiwemo na south Sudan, n hvyo kumwaminisha dogo kuwa ataweza kumvusha ....

Ushauri wangu Konde boy angetafuta Manager ambaye anadil na music pure, kama Salam Sk hv mda wote yeye anawaza mziki ,anakula ana analala yeye anawaza connection Tu , sasa huyu Jembe na huyo Manzi nafkr wana issue zao nzito na miradi mikubwa , hawawezi kusacrifice issue zao ili kumpambabania harmonize, yaani hao ni kupe, wanamnyonya tuu, ng'ombe akifa wote wanasepa....

kwa sasa tension kubwa itakuwa Kwa harmonize ,na watapiga pesa mbaya lakn badae issue itarudi kwenye equilibrium,na hapo ndo tutaanza kutafutana
 
Mbobo

JF-Expert Member
Jan 13, 2017
671
1,000

Kubaniwa some time ni blessings angefanya na davido sidhani iyo ngoma ingekuwa kubwa kiivyo
 
DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
415
250
Konde boy nilidhani.anaenda kuazisha nyumba yake. Kumbe ni chini ya mtu mwingine
Ni kama alivyofanya Diamond unakuwa na nyumba yako ,lakini manager ni lazima awepo huwezi fanya kila kitu wewe.Na ndo maana unaona chata za #Konde Gang. Kama Diamond na WCB but kuna Sallam.
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
5,588
2,000
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu kuondoka wcb.wengine wakienda mbali na kusema atashuka kimziki.mara ndo mwisho wake..Nimeandika haya kuwakumbusha Watanzania sisi wasahaulifu ya kwamba "what goes around comes around "amini hivyo.
Diamond baada ya kuvuna fadhila za kutosha kwa Bob junior producer wake wa kwanza kumtoa . Wote tuliona namna ambavyo aliondoka kwa ugomvi..tena wa kutokusemeshana.
Watanzania hawa hawa wakasema mara atashuka kimziki mara mziki wake umefikia mwisho..kwani nyie mmekuwa manabii mpaka muwatabilie watu yajayo..
Diamond baada ya kuvuna fadhila alizopewa na meneja wake wa kwanza Papaa Misifa..aliondoka pale kwa ugomvi mpaka kudaina pesa. Diamond akaja kumlipa papaa baadaye akiwa na meneja mwingine
Diamond baada ya fadhila alizopewa na marehemu Ruge.kumuandalia shows,kumtangaza na mengine tuliona kilichotokea.mpaka anafariki Ruge,maelewano baina yao yalikuwa hamna.
Kuna na habari zisizokuwa rasmi kuwa hata Ali kiba aliwahi msaidia Diamond katika harakati za mziki. Vipi mawasiliano yao leo.
Kwa hiyo basi hapana jipya linalotokea WCB analolifanya harmonize. Ndo yale yale aliwahi kuyafanya Diamond kwa watu waliombeba na kumfadhili lakini alipopata alichokihitaji aliwaambia wanamdhulu,mara wanamnyonya,hawataki afike mbali.mwisho akaondoka na kwenda kunzisha maisha yake.jambo ambalo ni jema.
Suala la msanii kuachana na menejimenti yake hata kama ilimpa kila kitu .yeye akaenda kuanzisha maisha yake nje ya hiyo management sio Dhabi. Mbona hata America inafanyika tumemuona Lil Wayne alivyoachana na birdman. Kumbuka birdman kamlea Lil Wayne akiwa bado kinda mpaka anakuja kuwa msanii mkubwa. Walipopishana Lil Wayne akaondoka chini ya lebo ya Cash money.
Mwisho harmonize ni msanii mkubwa kwa sasa anahitaji nyumba yake na sio kuwa chini ya nyumba ya mtu. Jambo la kutoka WCB ni busara za juu na maamuzi magumu lakini yenye tija.Awekee bidii tu atafika. Anapopalenga .
Umejitahidi vizuri kueleza umetibua Uzi wako tu kwa kusema kiba alimsaidia mondi hapa ndo umeonesha mziki ujui na Wala hufatilii.
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,637
2,000
Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!

Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!

Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!

Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!

Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!

Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!

Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
 
DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
415
250
Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.
Upo sahihi angalia spending ya boss ilivyo kubwa sana. Hata kama ana dili nyingi sana kuwazidi watoto wake but angejaribu kubalance ratio.
 
Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,662
2,000
Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!
Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!
Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!
Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!
Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!
Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!
Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
You started off well and concluded in an I don't know what good word fits that conclusion you made.
Kama ni mfuatiliaji, harmonize, kwa maelezo ya Sallam, hakuna pahali ameondoka kwa kuvimba au kujiona. In fact, walisema moyo haupo WCB ila karatasi zinasema bado yupo mpaka watakapokubaliana na atakapotimiza mahitaji ya kuvunja mkataba.
Akiweza sawa. Ndio ameondoka lakini ni mpaka awe kamalizana nao... Until then, no one is certain whether or not he's not under WCB.
Mtakuja kufanya nini sijui ikitokea hii ni kiki tu. Na jamaa wakasema alishindwa kutimiza masharti ya kuvunja mkataba.
 
Chupayamaji

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
2,757
2,000
Aliyempa connection na hiyo CCM ni Ruge huyo huyo
Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!

Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!

Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!

Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!

Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!

Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!

Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,637
2,000
Aliyempa connection na hiyo CCM ni Ruge huyo huyo
Hujui unachoongea! Hapa tunazungumzia back 2010 wakati Diamond akiwa bado mchanga kabisa kwenye game huku akiwa chini ya Papa Misifa! Ruge alianza kujiingiza kwenye issues za Diamond baada ya kuona Diamond ni lulu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom