Nimekuwa nikitazama kwa mshangao mkubwa kwa namna ambavyo hawa ndugu zangu wameonewa kwa kungolewa jicho la tatu, hii dunia ni ya kutenda wema tu na si kutanguliza chuki na uhasama kwani katika kupanda chuki mavuno yake ni zaidi ya chuki.
Nilikuwa najiuliza kwa namna bwana mdogo Makonda alivyotanguliza Ujuaji mwingi na Sirro wake kwa kuwataja watu majina yao ka jambo ambalo hana uhakika nalo, sikujua kiburi anapata wapi, nimeshtuka baada ya kusoma habari nyingi kwenye mitandao zikidai wote haw wawili wamekimbia samansi, jamani huu ni mwanzo kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kazi kubwa ipo mbeleni, hii mtafuatwa popote ambapo mtakuwepo, mtaletwa hata kwa kufungwa kamba, dunia hii si sehemu ya kujivuna na kutanguliza hisia badala ya akili, mfikishie ujumbe huu bosi wenu, Mungu wetu hajalala.
''what goes around comes around''
HIZI NI DALILI MBAYA KUPATA KUTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA.
TUSUBIRI, MWISHO WAKE UPO.