Hii kauli ya "what goes around comes around" (unachomfanyia mwenzako kitakurudia kwa namna moja au nyingine) ina ukweli ndani yake au ni porojo?

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,203
Hello JF
Hii kauli ya what goes around comes around ni moja wapo ya kauli maarufu sana na yawezekana umeshaitumia mara kadhaa ni kauli maarufu sana ilikuwepo tokea enzi hizo.

Je umeshawahi kujiuliza kama hii kauli ina ukweli wowote ndani yake au ni maneno tu ni porojo tu watu husema??Na mara nyingi hii kauli hupendwa kutumiwa pale mtu asipotendewa haki na mtu mwengine asipofanyiwa jambo la kiungwana na mtu mwengine basi hii kauli huchukua nafasi.

Ni mara chache sana ukute mtu anaitumia hii kauli pale anapotendewa jambo jema ile hali inafanya kazi pia hadi kwenye mema pia.

Nini kiini cha hili neno hasa??

Hili neno lilikuwepo kitambo sana enzi za mababu na mababu kwenye biblia kuna mstari usemao "unachopanda ndicho utachovuna" (as you sow ,you shall reap) ambao unaendana sana na hii kauli.
Kimaandishi inasemekana ulianza kuandikwa miaka ya 1970 katika kitabu cha Eddie Stones huko United States.

Sasa hebu tuangalie kwa upande mwengine wa baadhi ya vifungu vinavyopatikana katika biblia vinasemaje kuhusu hii kauli;

Kutoka 21:21-23
21. Lakini mtumwa huyo akibaki hai siku moja au mbili, bwana wake hataadhibiwa, kwani huyo alikuwa ni mali yake.
22. “Wanaume wakipigana na kumwumiza mwanamke mjamzito, hata mimba yake ikaharibika bila madhara mengine zaidi, yule aliyemwumiza atatozwa faini kama atakavyodai mumewe mwanamke huyo na kama mahakimu watakavyoamua.
23. Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai,

Mathayo 7:1-2
1.Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu;
2.kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.

Wagalatia 6:7-8
7.Msidanganyike, Mungu hadanganywi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda.
8.Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele.

Nimalize kwa kusema kuwa hii kauli inaishi na inaendelea kuishi leo mpaka kesho kwa maana hiyo ni vizuri kutafakari kwanza kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu kumbuka
"What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around"

Justine Timberlake naye aliwahi kuimba "what goes around comes around"

Hey, girl, is he everything you wanted in a man?
You know I gave you the world (world)
You had me in the palm of your hand
So why your love went away

I just can't seem to understand
Thought it was me and you, babe (babe)
Me and you until the end
But I guess I was wrong (uh)

Don't want to think about it (uh)
Don't want to talk about it (uh)
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way

Just so confused about it (uh)
Feeling the blues about it (yeah)
I just can't do without ya
But tell me, is this fair?

Is this the way it's really going down?
Is this how we say goodbye?
Should have known better when you came around
That you were gonna make me cry
It's breaking my heart to watch you run around
'Cause I know that you're living a lie
But that's okay, baby, 'cause in time you will find
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around

What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around, yeah

Now girl, I remember everything that you claimed
You said that you were moving on now (on now)
And maybe I should do the same (maybe I should do the same)
The funny thing about that is

I was ready to give you my name
Thought it was me and you, baby (baby)
And now it's all just a shame
And I guess I was wrong, yeah

Don't want to think about it (no)
Don't want to talk about it (huh)
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way

Just so confused about it (uh)
Feeling the blues about it (yeah)
I just can't do without ya can you tell me, is this fair?

Is this the way it's really going down?
Is this how we say goodbye? (Uh)
Should have known better when you came around
Should have known better that you were gonna make me cry
And now it's breaking my heart to watch you run around
'Cause I know that you're living a lie
But that's ok, baby, 'cause in time you will find

What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around, yeah
What goes around comes around (comes around, comes around)
Yeah

What goes around comes around (comes around, comes around)
You should know that
What goes around comes around (comes around, comes around)
Yeah (yeah)
What goes around comes around (comes around, comes around)

You should know that
Yeah, don't want to think about it (no)
Don't want to talk about it (uh)
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way
Just so confused about it (uh)
Feeling the blues about it (yeah)
I just can't do without ya
Ah, tell me, is this fair?

Is this the way it's really going down?
Is this how we say goodbye? (Oh)
Should have known better when you came around
Should have known better that you were gonna make me cry
It's breaking my heart to watch you run around ('cause I know that you're living a lie)
But that's ok, baby, 'cause in time you will find

What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around, yeah (yeah babe)
Let me paint this picture for you, baby (yo, yo) (uh)
You spend your nights alone and he never comes home
And every time you call him all you get is a busy tone

I heard you found out
That he's doing to you what you did to me
Ain't that the way it goes
When you cheated, girl
My heart bleeded, girl
So it goes without saying that you left me feeling hurt
Just a classic case scenario

Tale as old as time girl, you got what you deserved
And now you want somebody to cure the lonely nights
You wish you had somebody that could come and make it right
But girl, I ain't somebody with a lot of sympathy
See, see (uh)

I thought I told ya, hey (hey)
(What goes around comes back around)
I thought I told ya, hey (hey)
I thought I told ya, hey (hey)
(Ha, what goes around comes back around)
I thought I told ya, hey (hey)
Take it to him
Hey, hey, hey, hey, hey, hey, hey
Take it to him
See (hey, hey, hey, hey, hey, hey)
You should have listened to me, baby
Take it to him
(Hey, hey, hey, hey, hey, hey)
(Hey, hey, hey) Take it to him
(Hey, hey, hey, hey, hey)
Uh
Hey girl
Because what goes around comes back around
Ooh
images (2).jpg
images (1).jpg
 
Hiyo kauli ni uwongo tuu na janja, maisha ni safari au mzunguko , kupatwa na jambo fulani si ajabu ata kipindi fulani au kwa mtu fulani lishatokea.
 
ukifuatilia matukio mengi yaliyotokea yanayatokea utakuja kunotice kwamba there is truth in it .kama binadamu katika hii sayari usipende kuidhulumu nafsi ya mtu,unapo mdhulumu mtu haki yake nafsi yake ikasononek akamlilia Mungu ,kama the last resot impact yake haingalii wewe ni waziri,tajiri,Rais,spika au mtu wa daraja la aina yeyote utavuna mbegu ile ile uliyoipanda kwanamna isiyoweza kueleweka .kila mtu ajitahidi kufanya mema na kusimamia haki kwa sehemu yake alipo.
 
Kifo cha JPM
KUFUNGWA KWA SABAYA
MAKONDA KUKOSA KAZI.
NDUGAI SIYO SPIKA.

nnapata uhakika kuwa hii kauli po na inaishi...
Karma is a bitch.
 
Kifo cha JPM
KUFUNGWA KWA SABAYA
MAKONDA KUKOSA KAZI.
NDUGAI SIYO SPIKA.

nnapata uhakika kuwa hii kauli po na inaishi...
Karma is a bitch.
Nakumbuka jinsi Ndugai alivyopewa kinga ya kushtakiwa ili awe huru kukanyaga sheria wakati akiwashwa kalio
 
ukifuatilia matukio mengi yaliyotokea yanayatokea utakuja kunotice kwamba there is truth in it .kama binadamu katika hii sayari usipende kuidhulumu nafsi ya mtu,unapo mdhulumu mtu haki yake nafsi yake ikasononek akamlilia Mungu ,kama the last resot impact yake haingalii wewe ni waziri,tajiri,Rais,spika au mtu wa daraja la aina yeyote utavuna mbegu ile ile uliyoipanda kwanamna isiyoweza kueleweka .kila mtu ajitahidi kufanya mema na kusimamia haki kwa sehemu yake alipo.
kweli kabisa kaukweli kapo ndani yake
 
Kifo cha JPM
KUFUNGWA KWA SABAYA
MAKONDA KUKOSA KAZI.
NDUGAI SIYO SPIKA.

nnapata uhakika kuwa hii kauli po na inaishi...
Karma is a bitch.
Kifo cha
1. Chacha Wangwe
kiligubikwa na tuhuma nzito leo Karma inafanya kazi yake... mboe anasota gerezani.
 
“Remember, what you do now will come back to you in the future. Life has a funny way of making you deal with what you make others go through.”
 
Back
Top Bottom