Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,382
- 6,921
Kuna watu wanapenda madaraka bila kujali wataonekana vipi mbele ya jamii hivyo wapo tayari kufanya lolote hata kama jambo hilo litawaondolea utu wao!Possibly! Hawa ndio wale wanaomuona mfalme Zumarid kama Mungu wao. So, akiona sketi yoyote inakatiza mbele yake, anakuwa amemuona Mungu. Nchi hii ina mambo ya kijinga sana.
Ukimsikiliza vizuri, hilo pozi halimaanishi kitu kipya bali linamhusu Dakatari Samia Hassan ambaye yeye anamuona ni Mungu wake kisa tu amempa ulaji kama RC. Siku akimpa ubalozi au cheo kingine kikubwa, atamlamba miguu.Hapana hapa unemchomekea bwana. Hapo alipofika kwa Mungu wangu kuna koma/pumziko ndio akamtaja Mh. Rais Dkt Samia
Asieh ningesema hili nalo ni ajabu jingine ingawa kama yeye akikiri kuwa huyo ni Mungu wake sisi wengine tutafanyaje sasa???
Ndio maana wanaume wanaotumikia uchawa wamejiingiza kwenye vitendo vya kishoga ilmradi wanapata pesa za kutosha bila kujali wanadhalilika kiasi gani. The same case applies to Bashite.Kuna watu wanapenda madaraka bila kujali wataonekana vipi mbele ya jamii hivyo wapo tayari kufanya lolote hata kama jambo hilo litawaondolea utu wao!
Nina wasiwasi wapo watu ambao wapo tayari kufanyiwa hata vitendo visivyofaa ili mradi tu mtu ahakikishiwe kupewa madaraka fulani.
unatamani watu waelewe na kuamini upotoshaji wa maandishi yako, waache kuzingatia sauti na video ya muhusika amabyo umeiweka mwenyewe. hiyo haiwezekani hata uite watu majina ganiMsikilize vizuri mwanzo hadi mwisho ameunganisha maneno wewe mbuzi kama hujui kKiswahili rudi shuleni ukasome.
Inaonyesha wewe kichwa haki ni kigumu sana kuelewa na una matatizo ya kusikia.hapo katika kuongea kwake kuna alama ya koma kabla ya kwenda sentesi ya pili kuwa hayupo tayari kumkatisha tamaa Mheshimiwa daktari Samia Suluhu Hasssan .nimegundua kuwa baadhi ya watanzania ukiwepo wewe mna umbumbumbu mkubwa sana tena sana. Kama kwenye video hiyo tu umeshindwa kuelewa vipi kwa mashaka makubwa yanayohitaji akili?Wapi alitamka hayo maneno? Hayo maneno ameunganisha na yote yanamhusu Dr Suluhu Hassan. Acha kujitoa ufahamu na kupotosha watu. Kama hujui Kiswahili nenda shuleni ukasome.
Hilo ni nyumbu la CHADEMA.na nyumbu za CHADEMA hazinaga akili hata ya kuelewa. Ni vipofu wa akili na macho. Video ipo wazi tena kaweka mwenyewe ikiwa wazi kabisa namna Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda akizungumza, halafu yeye kwa unyumbu wake anataka kuleta upotoshaji hapa. Kweli nyumbu ni nyumbu tu.unatamani watu waelewe na kuamini upotoshaji wa maandishi yako, waache kuzingatia sauti na video ya muhusika amabyo umeiweka mwenyewe. hiyo haiwezekani hata uite watu majina gani
Mimi nimeisikiliza na wala siyo nyumbu kama ulivyo wewe. Kweli nimeamini CHADEMA hamna akili kabisa.kama hata kwenye hiyo video umeshindwa kuielewa vipi kwa masula yanayohitaji akili . Ndio maana mna kuwaga mnaropoka vitu majukwaani kwa kuwa hata mnachozungumza huwa hamkielewi hata ninyi wenyewe.Sikiliza kwa makini usikurupuke. Mungu aliyekuwa amemlenga ni Daktari Samia Suluhu Hassan. Hebu msikilize vizuri. Hapo alikuwa anaweka msisitizo ndio maana akaongezea hayo maneno. Nenda shule ukasome upya mkuu.
Rais samia ni Mungu wa makondaSote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua kushika wadhaifa fulani, tayari anachukua nafasi ya Mungu wako?
Wakati RC Makonda akiongea kuhusu rushwa huko Arusha, amesema Dr Samia ni Mungu wake, hivyo hayuko tayari kumuumiza. Mambo yasiwe mengi, hebu msikilize wewe mwenyewe kwenye video hapo chini usije ukasema nimemuwekea maneno kinywani mwake.
View attachment 2976801
MAONI YANGU
Hata mtu uwe na njaa au uwe ni mwenye kujikomba kiasi gani, tafadhali sana usimfananishe mwanadamu na Mwenyezi Mungu, Bwana wa majeshi, Muumba wa mbingu na nchi. Hii ni kufuru iliyovuka mipaka. Ifike wakati tutumie akili zetu vizuri tuache kufananisha vitu visivyofanana kwa sababu tu ya kutetea matumbo yetu.
Nawasilisha.
Pia soma
. RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha
Tuisheni yako unafundisha darasa la ngapi mkuuππππ tatizo liko wapi, mungu hatumjui tuliletewa stori tuu, simlaumu makonda
Wewe msukule kweli. Sasa suala la wewe kushindwa kutafsiri hotuba ya kiongozi wako CHADEMA inaingiaje? Au CHADEMA ndiyo iliyokuroga na kukutoa ufahamu?Mimi nimeisikiliza na wala siyo nyumbu kama ulivyo wewe. Kweli nimeamini CHADEMA hamna akili kabisa.kama hata kwenye hiyo video umeshindwa kuielewa vipi kwa masula yanayohitaji akili . Ndio maana mna kuwaga mnaropoka vitu majukwaani kwa kuwa hata mnachozungumza huwa hamkielewi hata ninyi wenyewe.