Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
18,860
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
18,860 2,000
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila ndoa.

My take .
Hii idea inaweza kuwa mwiba mchungu mitaa ya ufipa na watakuja kupinga sana kwa sababu ya mwenyekiti wao mpenda totozi( fly to KIA baby)

=====

Dar, wanaume walaghai kukiona

Monday August 12 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.IN SUMMARY
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amezungumzia mpango mkakati wa mkoa huo wa kupambana na wanaume walaghai kwa wanawake ikiwamo kuzisajili ndoa zote za mkoa huo.

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

Kanzidata hiyo itahusisha usajili wa ndoa zote ili wanaume waliooa waweze kubainika na kuwanusuru wanawake wasitapeliwe na kuumizwa mioyo kwa kutegemea ndoa.

Makonda amesema pamoja na kanzidata hiyo atatumia mkutano wa SADC kupata uzoefu kutoka kwa nchi nyingine kufahamu namna gani wanakabiliana na utapeli wa aina hiyo.

Mkuu huyo wa mkoa amesema kumekuwepo na malalamiko mengi ya wanawake kuumizwa hivyo wakati umefika wa kuanza kushughulikia.
“Tutaanza kuangalia na kupata uzoefu kwa wenzetu wa SADC ambao kama haya wanashughulikiaje na mkutano ukiisha tutajadiliana kama mkoa tunawezeshaje usajili huo,” amesema

“Kanzidata hii itawasaidia wanawake wasitapeliwe, mtu akitaka kukuoa utaenda mtandaoni na kuangalia taarifa zake, utabaini kama ameoa au la na vilevile itawasaidia hata wanawake ambao wameolewa ili kuzuia waume zao wasioe kwa siri,” ameongeza
Vita ya mashoga aliishia wapi vile maana naona bado wapo wapo tu
tapatalk_1564893878930-jpeg.1180128
 
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Messages
2,090
Points
2,000
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2013
2,090 2,000
Tofauti yao ni nafasi/cheo, ujazo wa miili, uzito na umri lakini wanafanana vitu vingi hasa akili na upeo!
 
Neem tree

Neem tree

Member
Joined
Feb 24, 2014
Messages
60
Points
125
Neem tree

Neem tree

Member
Joined Feb 24, 2014
60 125
Swali ni kuwa utabaini vipi kuwa huyu ameoa na huyu hajaoa. Ama kutakuwa na ID kwa wenye ndoa kwenye paji la uso. Na wale wanao ingia dar na kutoka itakuwaje?
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
11,168
Points
2,000
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
11,168 2,000
Hivi huyu Makonda ana akili Sawa Sawa au ndiyo Ubashite huo....!?
 
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
10,737
Points
2,000
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
10,737 2,000
Huyu jamaa nae ni mtu hopeless sana.
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
8,850
Points
2,000
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
8,850 2,000
Mimi nitoke nje ya mada kidogo.
Leo nimeiangalia sura (macho) ya Paulo Makonda katika picha. Hakika nilichogundua naomba kila MTU aache chuki au ushabiki macho ya Makonda yatasema yote.
Huyu jamaa ni muuaji au amekwisha UA MTU au kushuhudia MTU anauwawa. Hilo nina hakika nalo.
cc; Mshana Jr
Ukubwa dawa
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
4,569
Points
2,000
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
4,569 2,000
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila ndoa.

My take .
Hii idea inaweza kuwa mwiba mchungu mitaa ya ufipa na watakuja kupinga sana kwa sababu ya mwenyekiti wao mpenda totozi( fly to KIA baby)

=====

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

Kanzidata hiyo itahusisha usajili wa ndoa zote ili wanaume waliooa waweze kubainika na kuwanusuru wanawake wasitapeliwe na kuumizwa mioyo kwa kutegemea ndoa.

Makonda amesema pamoja na kanzidata hiyo atatumia mkutano wa SADC kupata uzoefu kutoka kwa nchi nyingine kufahamu namna gani wanakabiliana na utapeli wa aina hiyo.

Mkuu huyo wa mkoa amesema kumekuwepo na malalamiko mengi ya wanawake kuumizwa hivyo wakati umefika wa kuanza kushughulikia.

“Tutaanza kuangalia na kupata uzoefu kwa wenzetu wa SADC ambao kama haya wanashughulikiaje na mkutano ukiisha tutajadiliana kama mkoa tunawezeshaje usajili huo,” amesema

“Kanzidata hii itawasaidia wanawake wasitapeliwe, mtu akitaka kukuoa utaenda mtandaoni na kuangalia taarifa zake, utabaini kama ameoa au la na vilevile itawasaidia hata wanawake ambao wameolewa ili kuzuia waume zao wasioe kwa siri,” ameongeza
Comments reserved naishia kwakusema ''Mbombo ngafu''
 
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,301
Points
2,000
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,301 2,000
This time atawapiga muhuri usoni ili kuweza kuwabaini wale waliooa.

Pengine itakuwepo sheria kwamba kila mwanandoa lazima avae Pete ya ndoa asipovaa kifungo kitamuhusu.

Ama.pengine itakuwepo sheria ya kwamba kila nyumba iwe na cheti Cha ndoa Cha wanaoishi humo na wale wa uchumba sugu Basi adhabu itawahusu

Ama pengine itakuwepo sheria kwamba Ni marufuku kwenda gesti na mwanamke asiyekuwa mkeo (nafikiria akifuata tamaduni za nchi za kiarabu ataweza kunusuru uchepukaji katika ndoa)

Tusubirie tuone je atalitekelezaje? Vipi kuhusu wanaume waliozaa nje ya ndoa zao?
Tena huo muhuri unaweza kuwa unaonyesha jina la mkeo na namba yake ya simu.
 
Forum statistics

Threads 1,326,267
Members 509,458
Posts 32,216,552
Top