Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

Mkuu wa mkoa wakuu wa nchi wapi na wapi
Wengine wanaruhusiwa hadi wanne.
Sijui kama kakumbuka hilo. Zero brain huyu. Eti atawauliza wanaokuja Kwenye mkutano wa SADC kupata uzoefu katika nchi zao.
Jamaa wataondoka wakijua Wabongo mafala sana. Ujinga huu uwaulize kwa akina Mswati?
 
Kaongea utombo tuu kisa bos wake kavunjwa miguu

Taarifa zimezagaa shubamitiii
 
Hivi huyu mshenzi hajui kuwa kuumizwa kimapenzi ni hoja pana ikiwemo kushindwa kutungisha mimba kwa njia za asili??
Kama yeye alishindwa tu kummimba wife wake atawaweza hao wengine,,, jitu lishamba k linazipenda lkn kutia haliwezi anawaonea wivu walaji wanavyofaudu
 
 
Nilipo jua ukweli kuhusu Makonda aka Bashite nikajua tuna safari kubwa kama Taifa ktk mambo ya teuzi ambayo yanapelekea kupata matokeo bora kama Taifa, sisi ni bado sana hizi teuzi sababu mtu anajua sijui mganga gan mzr ‘Bwagamoyo’ au amekuunganishia ‘Totoz’ tuna safari ndefu
 
Nilipo jua ukweli kuhusu Makonda aka Bashite nikajua tuna safari kubwa kama Taifa ktk mambo ya teuzi ambayo yanapelekea kupata matokeo bora kama Taifa, sisi ni bado sana hizi teuzi sababu mtu anajua sijui mganga gan mzr ‘Bwagamoyo’ au amekuunganishia ‘Totoz’ tuna safari ndefu
 
Atapenyaje kuongea na head of states wa SADCC, wanao hata muda wa kujadili upupu, ngoja tusubiri mrejesho..
 
Hahahaha... Makonda anakili sana...

Hapa anacheza na pyschology za watu... utaona jinsi watu watakvyotokwa na mapovu...



Cc: mahondaw
 
Matamko ya bwana Mdogo makonda
1.Usafi wa mazingira
2.Madawa ya kulevya
3.Uharamia wa filam za kibongo
4.Wazaz waliotelekeza watoto wao
5.Usahili wa Ma IT
5.Kusaidia wajane
6.Ushoga
7.Wasio Oga, mtu mwenye nguo chafu na wasiopiga pasi hawaruhusi kuja mjini
8.utaratibu wa kunzisha mfumo wa kusahili wapenzi na wanandoa(New)

Hakuna hata moja alilofanikiwa kwa hata 40%. Kifupi bwana mdogo anatafuta kiki tu.

Na kama ndivyo alivyoagizwa na Mzee tambitambi(sangoma) kufanya vituko ili awe midomo mwa watu kila wasaha basi ajitafakari yeye na huyo sangoma mana soon ataingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia
 
Kwani ndoa si zinasajiliwa msikitini/kanisani na bomani? Hii kitu si kuna wizara ndio inahusika na haya mambo?
Nalog off
 
Back
Top Bottom