Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,167
- 16,256
Mkuu wa mkoa amesema kila kituo kilichojengwa cha brt kinagharimu zaidi ya bilioni mojaMkuu unamaanisha nini? Sijakupata
Mkuu wa mkoa amesema kila kituo kilichojengwa cha brt kinagharimu zaidi ya bilioni mojaMkuu unamaanisha nini? Sijakupata
Kicheko kwa vile hutalipa nauli? Wakati utakaa Massa mengi kusubiri hiyo bure kwani zaidi ya 50% ya mabasi yataondolewa kufidia gharama ya ziada!
Labda uwe ni wale ambao kwa vile ni bure unapanda kimara to Kivukoni for the sake ya kutembea tuu.
jazba iko wapi hapo,jamaa kauliza maswali ya msingi kabisa wanaishia kumtukana tuu...jibu wewe sasa nani atafidia hizo gharama au uanfikiri yanaendeshwa kwa hewa na wafanyakazi hawalipwi? Makonda ni zero kama idea zake za walimu kupanda basi bureMkuu mbona unaonekana ni mtu mwenye jazba...na chuki kali kwa ndugu Makonda.....mambo hayapo hivyo mkuu....si vyema kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hicho hata kama kuna mambo mnadhindwa kuelewana....tujiunze kuvumiliana....hata kama tunatofautiana itikadi na maoni.....wanadamu hatuwezi kuwa na mawazo na fikra zinazofanana.....
Mkuu, lengo la kuongeza muda wa bure sio kusaidia wanyonge.
Mkuu hujui Bure ni garama? Hayo mabasi hayatumii maji ya Bahar ya hindi.Safi sana mkuu wa mkoa, mimi ukifanya jambo jema la kuwasaidia wanyonge nitaendelea kukuunga mkono pamoja na kwamba upo ccm
Utalazimika tu yakuhusu kwani usafiri mwingine utakapoondolewa na kubaki na DART, ndipo utakapojua kuwa kumbe walikuwa hawakupakii bure, bali walikuwa wanakufundisha routes na namna ya kulipia usafiriCha muhimu mm choka mbaya nimesave buku 7 yangu ya nauli kwa wiki hii hayo mengine hayanihusu
Simchukii Makonda nachukia usanii unaofanyika nje ya majumba ya Sana'a kwa gharama ya maisha ya wengine tuu. Usinielewe vibaya.
jazba iko wapi hapo,jamaa kauliza maswali ya msingi kabisa wanaishia kumtukana tuu...jibu wewe sasa nani atafidia hizo gharama au uanfikiri yanaendeshwa kwa hewa na wafanyakazi hawalipwi? Makonda ni zero kama idea zake za walimu kupanda basi bure
Nakuona baby....Yeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live
BabyUkilaza uko kwenye nini wewe mpenda bure? Hiyo ni kampuni ya biashara, inaposema imetoa siku mbili za majaribio ya bure wamesha calculate hiyo hasara Makonda ni nani kuja kuwaongezea muda? Ina sasa wamepunguza mabasi na kusababisha usumbufu kwa watu.
Au akili yako na yake ziko sawa kiasi huwezi kuona tofauti?
Nyie mababy mnamchukia sana makonda ila ndo mkuu wenu wa mkoa huyoMakonda katoa wapi hayo mamlaka ya nauli za DART? Ningemuelewa kama angekuwa anatoa taarifa kwa niaba ya uongozi wa DART lakini kujifanya yeye ndiye mamlaka na nauli ni dharau kwa watu wa Dar es Saalam.
Baby mwingine huyu.... Nakuona sanajazba iko wapi hapo,jamaa kauliza maswali ya msingi kabisa wanaishia kumtukana tuu...jibu wewe sasa nani atafidia hizo gharama au uanfikiri yanaendeshwa kwa hewa na wafanyakazi hawalipwi? Makonda ni zero kama idea zake za walimu kupanda basi bure
Mnaweza kushangaa kesho asbh hakuna basi hata moja njiani na daladala zetu Ndio zishaondolewa, maana hawajitambui
Wewe ni kadume kavipi unajilengesha kwa wanaume? Tabia za Mombasa wengine hawakuzoea kijanaBaby mwingine huyu.... Nakuona sana