Kituo cha Mabasi yaendayo haraka Mbezi, usafiri umekuwa ni tatizo

Leesnathan

Member
Aug 2, 2022
6
1
Ni kiripoti kutoka kituo cha Mabasi yaendayo haraka Mbezi usafiri umekuwa ni tatizo.

Tunaomba serikali irejeshe usafiri wa daladala au kuwe na kampuni zaidi ya moja itakayotoa huduma kwa pamoja ili kuwa na ushindani.
 
Back
Top Bottom