KISHADA, wivu wa kike at bestHuyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
utawala huu hata ukijenga mashimo ya choo kwa shule ya msingi siku ya kuyazindua watasema ni historia! haijawahi kutokea , ni raisi wa mfano Africa na ujinga ujinga mwingine wenye kuudhi.... yani kujenga choo nalo ni jambo la kihistoria? vipi kujisaidia nje karne ya 21 kwa wanafunzi wa pr. tena waso na viatuuuuu.Hata ile vita ya madawa ya kulevya mbona miaka yote inapigwa kimya kimya?
Kwa mwenendo wa Makonda pale Kanisani hata Musiba ameshindwa kumtetea.
Mtakumbuka Makonda alikataa kuwaomba radhi Clouds kwa kitendo chake cha kuwavamia.
Hata pale Kanisani ukisikiliza kwa makini utaona kwamba Makonda aligoma hakuomba radhi kwa kauli za kibaguzi alizotoa.
Musiba ameshangazwa na jinsi Makonda alivyokosa unyenyekevu akiwa madhabahudi, huku akishuhudiwa na Waziri Mkuu, Katibu Mkuu wa chama, na viongozi wengine wa kidini na kijamii.
[/QHatayeye tabia nihiyohiyo
Ikitokea hivyo roho za wa Tz zisizo hatia zitapotea!Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Yeye ana tofauti gani na Makondahuyo musiba asijifanye yeye ni mgeni nchi hii! kiburi, ngebe, dharau, majivuno na nyodo za Makonda sote tunazijua, hata wakubwa wake musiba wanamtambua!
Anaweza kuwa PMHuyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Kwa kweli kama hiyo ndio mipango basi twafa anaweza kutuambia tulale chini atukanyage apiteHuyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Musiba siku zote yuko vzr sema leo unasema anakili kwasababu anamponda mbaya wenu
wewe unajuaje haya unayosema?
KISHADA, wivu wa kike at best
Itakuwa anawakilisha nafsi ya Kwanza ndani ya roho ya yule anayependa kusifiwaHata ile vita ya madawa ya kulevya mbona miaka yote inapigwa kimya kimya?
Mbeleko hii labda ipotee na mwenye mbeleko bila hivyo mtasubiri sana. Bashite ni untouchable .
Acha wivu! Kijana anapiga kazi mwache aendelee na kazi ya kujenga nchi.Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Kwa nini mkuu?Hawezi kugombea ubunge Kawe, labda huko kwao usukumani. Kama anataka kuvuliwa nguop ajaribu.
[emoji32][emoji32]Ila na sisi upinzani tuwe tunajielewa basi, hivi kwa mwenendo wa chaguzi za marudio zilizopita kuna haja ya kutumia digrii ngapi kuelewa nguvu ya udhalimu inayutumika kuwapitisha hao mashetani kwa nguvuHawezi kugombea ubunge Kawe, labda huko kwao usukumani. Kama anataka kuvuliwa nguop ajaribu.
Huyo hawezi kugombea ubunge, labda kama hana akili kabisa ndiyo anaweza kufanya hivyo. Kuna mtu dizaini ya bashite miaka ya nyuma akiitwa Kihiyo aligombea Temeke, waulize waliokuwepo kilichompata.[emoji32][emoji32]Ila na sisi upinzani tuwe tunajielewa basi, hivi kwa mwenendo wa chaguzi za marudio zilizopita kuna haja ya kutumia digrii ngapi kuelewa nguvu ya udhalimu inayutumika kuwapitisha hao mashetani kwa nguvu
Mdee anapita kwa kura nyingi za wanachi ila akisimamishwa Bashite ndo amatawazwa kuwa mbunge.
Bila misingi ya Katiba mpya na mguvu nje ya box hapo tutaendelea kujifariji na maneno kama yako.