Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Yaani huyo kijana andharau na ulimbukeni anavaaje nguo ya disco kwenye msiba alafu anaingia nayo kanisani?.
 
Wadau wa JF,

Habari za masiku wandugu, hongereni na changamoto za maisha. Kuna mambo yananifikirisha sana kuhusu kiongozi wetu mchapakazi na kipenzi cha watu.

Hasa baada ya kushutumiwa katika sekeseke la ubaguzi kutokana na kauli zake. Kwa kifupi katika msiba wa Daktari Mengi ambaye amelala kwenye nyumba yake ya milele, na Mungu ampuzishe salama, Amina. Msiba huu mzee wetu aliagwa karimjee na mkuu wa mkoa alisimamia msiba huu na mambo yakaenda vizuri ukiachana na kauli yake.

Sasa swali langu la kufikirisha ni kwa nini huyu kiongozi wetu aliuacha mkoa wake na kwenda kilimanjaro kumzika wakati alishamuaga dar? Maana picha zake na mavazi aliyovaa akiwa katika msiba tena kanisani, zinanifanya nijiulize kama kweli alidhamiria kwenda kumzika mzee wetu.

Fikra ingine ni kuwa hata mimi nilikuwa sipajui kwa mzee mengi kama amejenga ghorofa 3, kama ambavyo nimeshuhudia kwenye mtandao, pengine msiba huu unaweza ukawa ni fursa kujua makazi ya mengi aliyojenga ni kwamba pamekaaje.

Yangu ni hayo tu, tuendelee kuijenga tanzania ya viwanda kwa kumuenzi mzalendo na muungwana mzee wetu Daktari

Reginald Abraham Mengi
 
Ninadhani hata yeye sasa hivi anajiuliza ni kwanini alikwenda Kilimanjaro kwenye msiba wa Mengi. Tungeweza ku re wind muda sidhani kama kingetokea tena hili.
 


Mkuu naongezea no,6---- Hata alipopewa nafasi ya kujieleza/ kujitetea pale madhabauni alizidi kutonesha majeraha kwa walengwa kwa kusema; "Alimsifia mchaga miongoni mwa wachaga". na wala siyo "alimsifia marehemu miongoni mwa Watanzania".πŸ€”πŸ€”
 


Mkuu naongezea no,6---- Hata alipopewa nafasi ya kujieleza/ kujitetea pale madhabauni alizidi kutonesha majeraha kwa walengwa kwa kusema; "Alimsifia mchaga miongoni mwa wachaga". na wala siyo "alimsifia marehemu miongoni mwa Watanzania".πŸ€”πŸ€”
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…