Amekuomba umwelezee hisia zake mkuu? Tangu lini kawa mtani wa wachagga? Ulimsikia pale madhabahuni alivyojilazimisha kuomba samahani ya kejeli?Hakuumaanisha na ndio maana alisema watu wamemtafakari vibaya. Hajaliona kosa, na ndiyo maana alionyesha kiburi mbele ya Askofu, Waziri mkuu na kadamnasi yote. Kujitambua kwa huyu chalii, it will take karne. Again, sham on him.Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Mavazi gani hayo unayoyaita ya kihuni ?
Nini maana ya uhuni ?
Mhuni ni nani?
Oleombha Kinehe MayallaUtasubiri sana, na hili ni upepo tuu nalo litapita.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
P.Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
Nimepata habari anagombèa KaweKibaya zaidi pamoja na chuki zenu kwake, lakini mwaka kesho anakuwa mbunge
Kama kiongozi hakutakiwa kuvaa vile kama yuko disco.
View attachment 1093256
Yametoka kwenye mazishi ya DR. Mengi kwa kituko cha uvaaji wa Mh. RC. Makonda. Kilangila.Mbona unaonekana una msongo wa mawazo uliokubuhu?? mambo ya mavazi yametoka wapi hapa?
Mkolomije na Mchaga utani wapi na wapi?Hakukosea hata kidogo!!!! aliweka kautani kwa wachagga ambao wengi ni marafiki zake au hukutana katika shughuli za kisiasa...na kwa kuwa ni msiba mzito mara nyingi kuna baadhi ya watu huchomeka maneno ya utani angalau kuwahamisha wafiwa kutoka hisia kali za kumfikiria marehemu ambayo inaweza kuwasababishia matatizo ya kiafya. Kumbuka msiba ni sherehe ya mtu ya mwisho hivyo kuna staili mbali mbali za kumuaga marehemu wengine ni kumsifia mwanzo mwisho sawa!!! wengine kuwatania waliobaki sawa!!!! kwa nini watu wanashupalia neno ambalo limetolewa kama obiter dictum?
Mahakama imetoa uamuzi kwamba maDED hawatakiwi kuwa wasimamizi wa uchaguzi. Kilangila.Kibaya zaidi pamoja na chuki zenu kwake, lakini mwaka kesho anakuwa mbunge
Waliokwenda kanisani wameona...Kaona nani wewe, hizo kamera zote zilizomrekodi na kumrusha kwenye TV zioikuwa zinaedit, hizo picha na video ni za kughushi
Yule aliyekwenda mbele kwa askofu hakuwa yeye, yeye alikataa na alisema atatoa taarifa baada ya siku nne.Kwa muktadha ule ule alioutumia Mch. Gwajima kusema ile video ni ya kuunga unga, na mimi nasema hiyo picha ni ya kuunga unga.
View attachment 1093631
Kwanza hicho kifua ni cha baunsa, hawezi kua Makonda huyo.
Afande kanogaHata hii ni ya kugushi piaView attachment 1093639
Vyeti fake, jina fake, na picha pia fake? Huyu mtu mbona kila kitu fake tu?Kwa muktadha ule ule alioutumia Mch. Gwajima kusema ile video ni ya kuunga unga, na mimi nasema hiyo picha ni ya kuunga unga.
View attachment 1093631
Kwanza hicho kifua ni cha baunsa, hawezi kua Makonda huyo.
Kubali kuwa mfungwa ukaonane naeAfande kanoga
Yaani nikimpata huyu nitamla mpaka basi
Kwani hatuwezi onana uraiani ?Kubali kuwa mfungwa ukaonane nae
Huko uraiani anaishi na mumewe.Kwani hatuwezi onana uraiani ?