Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba,
-hajui kucheza na maneno ya kiswahili bila kuacha rabsha
-hajui kusoma mazingira na upepo ulivyo
-aliwatania wasiotaka utani naye
-hajui kuchagua rika na lugha viendane
-ana matatizo.Na ni tatizo kuwa hajui yeye ndiye tatizo lenyewe
 
Makonda angekuwa Mpare wala huo utani usingekuwa na madhara ya kikabila kiasi kile.Binafsi pia nadhani Makonda alichomokea utani lakini bahati mbaya tafsiri ikawa tofauti.Bahati mbaya sana tena watu wa eneo hilo wameshaaminishwa kwamba Serikali haiwapendi,nk,nk,nk.
 
Watani wa wachaga n wapare na wasambaa.sio yy.Ajifunze alama za nyakati
 
Wacha kuchukua picha za Zamani leo hii Sonko ni full Suti kila anapoenda
 
Ujue baada ya ile kauli nikawa nawaza hivi Kilimanjaro wanakotoka wachagga hakuna walemavu,hakuna vituo vya walemavu,je hakuna wachagga wanaowasaidia hao walio walemavu ukiacha Dr R. Mengi??
 
Kabisa wala asipoteze muda, matukio ya Bash boy huwa ninayarekodi kwenye diary tu.
 
Kiburi chake ni A+ kwa sasa ila upo wakati kitakuwa carryover
 
Aende kule walikuwa wameagana na KUBENEA kwenda kutajana?
Asahau ubunge was Nyamagana. Mahakama Kuu imeshatengua vifungu vya sheria vinavyowafanya Wakurugenzi was Majiji, mini kuwa wasimamizi was uchaguzi. Hivyo suala la. Mgombea huyu kushinda na akatangazwa mgomea mwingine halitakuwepo. I hope!
 
wengi fahamu zitaanza kuwarudia kwenye awamu hii!
 
Hiyo #2 kuhusu madeni alimkumbusha kwani yeye mkewe?asisubiri wenye mali waongee nini kilichomuwasha kuzungumza hiyo issue!

Kujipendekeza tu!
Huenda hata mengi alishasema akifa na madeni yamekufa haaaaa nawaza tu yeye lilomuuma ni nini?
 
Mambo ya Kubenea yalihusu nini pale katika msiba?
 
Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?
Kwakuwa yeye ndiye kiongozi mwenye chuki zaidi na biadamu wenzie.
Mfano tukio la harambee ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Alimtukana matusi ya kebehi na dharau mwalikwa mwenzake bila sababu yoyote.
Tena kwa kumtaja jina mbele ya hadhara.
Wakati wote wawili walilkuwa wageni waalikwa.
Alimpiga Mzee Warioba bila sababu ya msingi.
Juzi kawatukaana Wachaga hadi kaombewa na Katibu wale Mkuu.
Na mengine mengi.
Hivyo watu nao wanamlipia.
Au unataka yeye aendelee kutukana tu na watu wamnyamazie.

Dunia ya sasa ni ya Jino kwa Jino.
 
Dah hapa yupo mahali pa ibada ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…