Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Kutoka : Mlango 19

5 Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana DUNIA YOTE pia ni MALI YANGU,

1 Wakoritho : Mlango 10

26 maana, Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.
 
Kelele zetu zisizoisha kwa Makonda wala hazitusaidii Sisi pamoja na nchi yetu na kikubwa kila Mtu atimize tu wajibu wake kwa kile kinachompatia mkate wake wa kila siku. Kumuandama Kwenu Makonda ndiyo kunazidi tu kumjenga na kumpa Imani aliyemteua kuwa ana Jemedari wa kweli ambaye ni Kiboko ya Watu. Makelele yenu haya ndiyo yanazidi tu kumkomaza hivyo tuache kila siku kujibiidisha kupaka rangi upepo juu ya suala zima la Makonda. Tunapoteza sana muda juu ya kumjadili Yeye tu kila uchao.
 
Magufuli anapambana na utawala wa shetani hapa duniani?

Yeye anapambana na utawala wa shetani akiwa upande wa nani? Wa Mungu?

Ni Mungu yupi anayeruhusu chuki, unafiki, uongo?

Ifike pahala jina takatifu la Mungu liheshimiwe. Maana limekua kama pipi mdomoni mwa viongozi wa awamu hii kulitumia kutafuta huruma ya wananchi

Amri za Mungu zasema, Usilitaje bure jina la Mungu
 
Dunia na vitu vyote viijazavyo ni mali ya Bwana...Mungu aliye hai
 
2fb85d95e6ce16213b7d64d57fb7012e.jpg

Mwita anamwambia Mkuu huyu hana vyeti,ah Mwita hatakama hajasoma ananifanyia Kazi zangu hahitaji kusoma.Wasiyo na vyeti halali ndiyo hawatakiwi
 
Kelele zetu zisizoisha kwa Makonda wala hazitusaidii Sisi pamoja na nchi yetu na kikubwa kila Mtu atimize tu wajibu wake kwa kile kinachompatia mkate wake wa kila siku. Kumuandama Kwenu Makonda ndiyo kunazidi tu kumjenga na kumpa Imani aliyemteua kuwa ana Jemedari wa kweli ambaye ni Kiboko ya Watu. Makelele yenu haya ndiyo yanazidi tu kumkomaza hivyo tuache kila siku kujibiidisha kupaka rangi upepo juu ya suala zima la Makonda. Tunapoteza sana muda juu ya kumjadili Yeye tu kila uchao.

Tunachohitaji ni haki juu ya JINAI aliyotenda ya KUIBA vyeti vya mtu mwingine hakuna mtu mwenye muda na Mpuuzi Bashite
 
Kelele zetu zisizoisha kwa Makonda wala hazitusaidii Sisi pamoja na nchi yetu na kikubwa kila Mtu atimize tu wajibu wake kwa kile kinachompatia mkate wake wa kila siku. Kumuandama Kwenu Makonda ndiyo kunazidi tu kumjenga na kumpa Imani aliyemteua kuwa ana Jemedari wa kweli ambaye ni Kiboko ya Watu. Makelele yenu haya ndiyo yanazidi tu kumkomaza hivyo tuache kila siku kujibiidisha kupaka rangi upepo juu ya suala zima la Makonda. Tunapoteza sana muda juu ya kumjadili Yeye tu kila uchao.
mkuu umekata tamaa
 
Back
Top Bottom