Thomas Laiser
Member
- Nov 9, 2016
- 64
- 124
Maadam Makonda alijua mtazamo wa aliyemteua kuhusiana na hatua yake ya kuvamia kituo cha Clouds, basi tuliobakia hatuna haki ya kumlaumu kuwa kakosea. HAKUKOSEA. Alitenda lile limpendezalo aliyemteua huku akijua kuwa hatofanywa kitu. TUSIMLAUMU. Wito wangu aendelee mbele azidi kusifiwa. Hongera Ndugu Makonda, songa mbele- mtukufu yuko pamoja nawe.