Makonda anapitia kipindi kigumu

Makonda anapitia kipindi kigumu

ea45e74b58729a30c44621b22f2d1df0.jpg
1a8f8e410dd894a5da9a999f87b2fa96.jpg



Hii Haina ubishi ukimuona Mtu anamtafuta sana Mungu kuliko kawaida yake ujue anasababu za kufanya hivyo inawezekana kuwa amegundua ukweli kwamba ametenda dhambi hivyo ameamua kutubu, lakini hii mtu anakaa kwenye dini moja tu, either anapitia kipindi ambacho ni kigumu yeye mwenyewe kwa uwezo wake hawezi,

Kutokana na maneno yaliyowekwa kwenye picha hizi na mambo yanayoendelea bila shaka muheshimiwa anapitia kwenye kipindi kigumu,

Mshahara wa dhambi ni mauti
Kama Mshahara wa dhambi ni mauti basi ni lazima ukitenda dhambi ukutwe na mauti .
 
Mm nikikumbuka alivyomtukana yule mtumishi wa halmashauri sina hamu naye!
Mkuu samahani.
ndio yule aliyeitwa kichaa?
Bwana lile jambo hata mimi sikulifurahia. Hivi kiongozi mwenye busara anaweza fanya vile kweli? Hata kama ndio hapa kazi tu. Ule ulikuwa si uungwana.
 
Alichokuwa anatafuta sasa amekipata .Mungu wa mbingu na inchi kaamua kumdhalilisha kwa hila na chuki zake kwa wasio na hatia
 
Nijuavyo mm kila mmoja ana imani yake, kama ni mkristo inamaana haamini uilam, kama ni muislam ina maana huamini juu ya ukristo ndiyo maana hata kwenye viap vya viongozi hutumia kitabu cha dini yake tu , kama msahafu ni msahafu tu na kama ni biblia ni bibli tu.
Kinachomgharimu Daudi Bashite ni unafiki wa kutaka maombi ya dini zote mbili wakati miungu wa dini hizi mbili haipatani.
Kwahiyo anawachonganisha mungu wa wakristu na mungu wa waislamu au sio....

Daudi Bashite
 
Back
Top Bottom