Makonda anapitia kipindi kigumu

Makonda anapitia kipindi kigumu

ea45e74b58729a30c44621b22f2d1df0.jpg
1a8f8e410dd894a5da9a999f87b2fa96.jpg



Hii Haina ubishi ukimuona Mtu anamtafuta sana Mungu kuliko kawaida yake ujue anasababu za kufanya hivyo inawezekana kuwa amegundua ukweli kwamba ametenda dhambi hivyo ameamua kutubu, lakini hii mtu anakaa kwenye dini moja tu, either anapitia kipindi ambacho ni kigumu yeye mwenyewe kwa uwezo wake hawezi,

Kutokana na maneno yaliyowekwa kwenye picha hizi na mambo yanayoendelea bila shaka muheshimiwa anapitia kwenye kipindi kigumu,

Mshahara wa dhambi ni mauti

Akitoka hapo anaenda kwa Masogange.
 
Sio mbaya, ni ishara ya kutambua udhaifu na unyonge wake, ni ishara ya kumtaka Mungu na nguvu sake.

Ni nani aliye mkamilifu mbele za Mungu? Nampongeza Makonda kwa kutambua kuwa pasipo msaada wa Mungu hataweza.

Imeandikwa, "Ni Heri kumkimbilia BWANA kuliko kuwatumainia wanadamu. Ni Heri kumkimbilia BWANA kuliko kuwatumainia wakuu". Zab.118: 8-9

Vv
Hizi mambo za kwenda kwenye maombi afu ujipost mitandaoni sio nzuri hata kidogo.
Kuna picha ingine akiombewa na Kardinali Pengo.
 
Sifanyagi maombi kwa mtu mwenye vyeti feki.
In voice of Gwajima.
Tulia utumbuliwe tu.


Maji yamezidi unga.
Acha apitie kama alivyowapitisha wasiostahili kweny kipind kigumu mwezi huu.
 
usithubutu mwanao kutumia cheti cha mtu, atateseka maisha yake yote, ndio hicho kinachomtesa makonda anajua muda wowote kibarua kinaota nyasi
 
Hakukurupuka anafanya kazi kadri ya anavoambiwa sasa sijui anaombewa nini, labda siku nyingine asisikilize maneno ya wa kubwa. by the way waombaji ni dua za kuku hizo, wenyewe wanahitaji kuombewa wajielewe uisalm wao.
 
Back
Top Bottom