Makonda anapitia kipindi kigumu

Makonda anapitia kipindi kigumu

Mungu siku zote uwashusha wanaojikweza,kujifananisha na Mungu ni kufuru kubwa sana Kwa mwanadamu, maisha ya kujipendekeza,kujikweza,kuwatakia mabaya wenzio huwa hayana mwisho mzuri,usirushe mawe hali unaishi nyumba ya vioo.Na hakuna siri chini ya jua, ukimwaga mafuta kwenye shimo la nyoka hakikisha unayo mafuta ya kutosha.
Kumbe alikuwa na koroboi moja ya mafuta sasa vifutu wameibuka na vyeti na bado Manji hajaanza.
 
ea45e74b58729a30c44621b22f2d1df0.jpg
1a8f8e410dd894a5da9a999f87b2fa96.jpg

Hii Haina ubishi ukimuona Mtu anamtafuta sana Mungu kuliko kawaida yake ujue anasababu za kufanya hivyo inawezekana kuwa amegundua ukweli kwamba ametenda dhambi hivyo ameamua kutubu, lakini hii mtu anakaa kwenye dini moja tu, either anapitia kipindi ambacho ni kigumu yeye mwenyewe kwa uwezo wake hawezi,

Kutokana na maneno yaliyowekwa kwenye picha hizi na mambo yanayoendelea bila shaka muheshimiwa anapitia kwenye kipindi kigumu,

Mshahara wa dhambi ni mauti
ukiuwa kwa upanga na wewe unaliwa na upanga, kiufupi nayeye atatangazwa kama walivyo tangazwa wengine, ataaibishwa mbele ya wakuu na watoto kwa
 
Daudi Bashite ni noma.
Anatafuta kwa waislamu na wakristo kwa mpigo, hajui hizi dini zinapingana, amalizie na kwa mganga kabisa.
Mheshimiwa anavyompenda Bashite akiona hivi atamuonea huruma maana na yeye hua ni maneno mungu mungu kila wakati. Ana pesa tayari afanye kazi nyingine tu.
 
Kuongozwa na kihi.o inauma sana,mdogo wangu yuko home na n gpa wake wa kutisha halafu kuna kila.za mmoja anaiba chet na kupewa cheo kikubwa
 
ea45e74b58729a30c44621b22f2d1df0.jpg
1a8f8e410dd894a5da9a999f87b2fa96.jpg

Hii Haina ubishi ukimuona Mtu anamtafuta sana Mungu kuliko kawaida yake ujue anasababu za kufanya hivyo inawezekana kuwa amegundua ukweli kwamba ametenda dhambi hivyo ameamua kutubu, lakini hii mtu anakaa kwenye dini moja tu, either anapitia kipindi ambacho ni kigumu yeye mwenyewe kwa uwezo wake hawezi,

Kutokana na maneno yaliyowekwa kwenye picha hizi na mambo yanayoendelea bila shaka muheshimiwa anapitia kwenye kipindi kigumu,

Mshahara wa dhambi ni mauti
Hoja yako ni ya kishetani,kwa hiyo wasiomtafuta sana mungu hawana dhambi na hawajatubu.
Baba yako mzazi kijijini analala na biblia kitandani kwa ajili ya kumtafuta Mungu wake,je nae ametenda sana dhambi
 
Anamchanganya Mungu kwa kweli na miungu kadha wa kadhaa au ndio dhana ya kumtafuta Mungu japo ni kwa kupapasa.Mara ni kwa miungu ya waamori mara ni kwa allah full mixing
 
Hoja yako ni ya kishetani,kwa hiyo wasiomtafuta sana mungu hawana dhambi na hawajatubu.
Baba yako mzazi kijijini analala na biblia kitandani kwa ajili ya kumtafuta Mungu wake,je nae ametenda sana dhambi
Sawa mke wa Baba Maana unamkuta sana Baba yangu ila umesahau kuwa Baba yangu analala na Biblia tu basi, halal na Qur'an na Bablia kwa pamoja, inamaana naamini sehemu moja ahangaiki na Dini sawa Mama
 
Back
Top Bottom