Nilianza kuona kwenye mkutano wa warioba, kundi la vijana zaidi ya 20 walileta taharuki ukumbini na waliondoka pasipo kujulikana ni akina nani na walitokea wapi.
Kenye unaoitwa uvamizi clouds media makonda alionekana na vijana wenye siraha nzito za kivita lakini hadi leo hakuna aliyetambulika hata mmoja.
Katika sakata la Nape vijana wanaodaiwa ni askari kanzu walimshambulia Nape, cha kushangaza hakuna hata mmoja anayetambulika na camera zote zimewapiga picha mgongoni na walitoweka polisi walivyofika, hivyo inawezekana ni watu maalum wenye mafunzo maalum
tuseme Dar kuna secret service inayotumika kwa kazi maalum za kiusalama? Mbona matukio yote hayo hatambuliki hata mmoja wao?