Makonda ampa darasa Zuhura Yunus wa BBC kuhusu sheria ya ndoa ya Tanzania

Makonda mbunifu sana nampongeza anakuja na mambo mapya kila Leo
Ni kweli anakuja na mambo mapya, lakini karibia yote au yanakuwa hayana maana au huwa hana uwezo wa kuyatekeleza.
 
Ungeandika kwa lugha pendwa ya CCM mpya!!
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
 


Ndugu yangu kwa akili yako yote unadhani makonda anaweza kujua kwamba ndoa za aina tatu ni Kidini, Kiserikali na Kimila? kile kichwa chake ni upupu mtupu. Ok what if mtu akifunga ndoa nje ya Dar? Mimi nachojua Makonda huwa anafanya kazi zisizomhusu kabisa ............... Alitakiwa apambane na mambo yenye tija kwa Wana Dar na sio kung'ang'ana na vitu asivyoviweza...................... huyo aliyemnyima mbegu za kuzalisha ndio alimuweza kabisa...........

1. Watoto waliotelekezwa (yako wapi)
2. Wajane (Yako wapi?)
3 Ndoa (nayo ni bure) anasahau next year tuu yeye sio mkuu wa mkoa wala kitongoji zaidi atakuwa Kolomije au uhamishoni kabisa
 

Nini kazi ya RITA kwenye hii ishu? Mbona Bashite anapenda kuleta uduwanzi hata pale ambapo angekaa kimya tu na kuepuka shari?

Ile kampeni yake ya watoto waliotelekezwa na baba zao imefikia tamati kweli? Nini matokeo?

Huyo ng’ombe sijui tumasaidie
 


Ha ha ha ha ha ng'ombe asaidiwe je kwa kweli daaah hadi aibu
 


Wewe na makonda kapu lenu moja na harufu yenu moja tuu hakuna wa kumwambia mwenzake sogea
 
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
Would you agree that this reflects the same on his political godfather, the president, as well?
 
You are very wrong bro. If, as you have admitted, his good office is responsible for issuing certificates, so is automatically responsible for storing the data. As to whether they can make the data available for everyones eyes thats another matter.
 
Mkuu weka hivyo vifungu kwa faida ya wengine kama mimi
 
Mnaohangaika na Makonda hamna mambo ya maana ya kufanya.

Muimbieni mapambio lakini ukweli kumhusu mnaujua.
 
Hadithi za Makonda hauwezi kutofautisha na cartoon, zina tabia kuu mbili (2)
1.Chanzo hakijulikani
2.Hazijirudii
 
Yan Bashite ana tatizo kwenye ubongo wake...nimemsikia akinukuu sheria ya ndoa ya Mwaka 1892😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…