Makonda ampa darasa Zuhura Yunus wa BBC kuhusu sheria ya ndoa ya Tanzania

Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
2,922
Points
2,000
Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
2,922 2,000
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
At least, leo umeongea vitu vya msingi kabisa.
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
13,835
Points
2,000
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
13,835 2,000
Bashite bwana,sasa kaamua kuwa jaji wa mahusiano ya watu wazima. Ngoja tuone mwisho wake.
 
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
2,410
Points
2,000
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2015
2,410 2,000
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
On the contrary Makonda talks sense but he just doesnt walk the talk.

Marriage registration is a basic legal requirement as for birth or death registration. As to whether the database should be readily available for all to see, thats another matter which needs proper and thorough consultation!
 
S

silas maswe

Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
26
Points
75
S

silas maswe

Member
Joined Jul 28, 2015
26 75
Kaulizwa maswali na Zuhura kashindwa kujieleza, kaulizwa ni sheria ipi inaingilia faragha? Yy kaanza kujibu vitu ambavyo havipo. Halafu anasema ni malalamiko ya wananchi na wakati wananchi wenyewe wanamshangaa.

Pia kaulizwa ni sheria ipi inasema majina yachapishwe, yy kaanza maelezo na mikanganyiko kibao. Na hakuna sheria yoyote inayoingilia mambo binafsi ya mtu na kuthibitisha mahakamani umedanganywa ni ngumu.

Poa amejibu kinyume na sheria kuwa kuna ndoa za aina 3 yaani ya Kikristu, Kiislam na ya bomani. Wakati Tanzania tuna ndoa za aina 3 yaani

1. Kidini
2. Kiserikali
3. Kimila


Ndoa za kimila zinatambulika kikatiba na kisheria lakini yy hazitambui
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli was BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali was kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hill.

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au no ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hill no kwa mujibu was sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia
 
Lung'wecha

Lung'wecha

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Messages
831
Points
500
Lung'wecha

Lung'wecha

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2014
831 500
On the contrary Makonda talks sense but he just doesnt walk the talk.

Marriage registration is a basic legal requirement as for birth or death registration. As to whether the database should be readily available for all to see, thats another matter which needs proper and thorough consultation!
This literature makes sense anyway, both grammatically 'nd there of in content!
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,521
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,521 2,000
Makonda is a good talker.., lakini sidhani kama neno darasa na Makonda yanafaa kuwepo kwenye sentensi moja....
 
cai

cai

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
1,326
Points
2,000
cai

cai

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
1,326 2,000
Kajichanganya hadi Dada Zuhura kaamua kukatisha mahojiano, kwanza kaanza kwa kusema kuna rais atakuwa mwenyekiti wa sadc, naona hadi mtanagazaji kajijutia kumuhoji live
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,931
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,931 2,000
Makonda ni janga na aibu kubwa kwa taifa. Nadhani washauri wake wameishiwa vya kumshauri maana hizi pumba lazima anatoa kichwani kwake bila kushirikisha watu wake wa karibu ofisini.
Anatia aibu, anaacha kushughulikia mambo makubwa ya manufaa kwa wananchi na serikali anaanza anakalia kufanya undezi kwenye ndoa za watu kwa kufuata hisia zake
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top