Makonda ampa darasa Zuhura Yunus wa BBC kuhusu sheria ya ndoa ya Tanzania

Makonda mbunifu sana nampongeza anakuja na mambo mapya kila Leo
Ni kweli anakuja na mambo mapya, lakini karibia yote au yanakuwa hayana maana au huwa hana uwezo wa kuyatekeleza.
 
Ungeandika kwa lugha pendwa ya CCM mpya!!
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
 
Kaulizwa maswali na Zuhura kashindwa kujieleza, kaulizwa ni sheria ipi inaingilia faragha? Yy kaanza kujibu vitu ambavyo havipo. Halafu anasema ni malalamiko ya wananchi na wakati wananchi wenyewe wanamshangaa.

Pia kaulizwa ni sheria ipi inasema majina yachapishwe, yy kaanza maelezo na mikanganyiko kibao. Na hakuna sheria yoyote inayoingilia mambo binafsi ya mtu na kuthibitisha mahakamani umedanganywa ni ngumu.

Poa amejibu kinyume na sheria kuwa kuna ndoa za aina 3 yaani ya Kikristu, Kiislam na ya bomani. Wakati Tanzania tuna ndoa za aina 3 yaani

1. Kidini
2. Kiserikali
3. Kimila

Ndoa za kimila zinatambulika kikatiba na kisheria lakini yy hazitambui

Ndugu yangu kwa akili yako yote unadhani makonda anaweza kujua kwamba ndoa za aina tatu ni Kidini, Kiserikali na Kimila? kile kichwa chake ni upupu mtupu. Ok what if mtu akifunga ndoa nje ya Dar? Mimi nachojua Makonda huwa anafanya kazi zisizomhusu kabisa ............... Alitakiwa apambane na mambo yenye tija kwa Wana Dar na sio kung'ang'ana na vitu asivyoviweza...................... huyo aliyemnyima mbegu za kuzalisha ndio alimuweza kabisa...........

1. Watoto waliotelekezwa (yako wapi)
2. Wajane (Yako wapi?)
3 Ndoa (nayo ni bure) anasahau next year tuu yeye sio mkuu wa mkoa wala kitongoji zaidi atakuwa Kolomije au uhamishoni kabisa
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia

Nini kazi ya RITA kwenye hii ishu? Mbona Bashite anapenda kuleta uduwanzi hata pale ambapo angekaa kimya tu na kuepuka shari?

Ile kampeni yake ya watoto waliotelekezwa na baba zao imefikia tamati kweli? Nini matokeo?

Huyo ng’ombe sijui tumasaidie
 
Ha ha ha ha ha ng'ombe asaidiwe je kwa kweli daaah hadi aibu
 
BBC hawana credibility kabisa. It's a mouthpiece for liberalism. Hawana jema wanaloliongea kuhusu Afrika. Kumbukeni ile kampeni waliyoifanya dhidi ya Mugabe. Halafu wakamgeukia Rais Kagame na ile documentary ya kipuuzi kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Tutsi. Despicable this organization is. Safi sana Mheshimiwa Makonda kumnyoosha huyu dada wa BBC. Kwa awamu hii wamekwama.

Wewe na makonda kapu lenu moja na harufu yenu moja tuu hakuna wa kumwambia mwenzake sogea
 
Makonda is a worthless piece of doodoo!

He has no business getting into other people’s personal businesses.

I have never ever heard any sense come out of his mouth.

Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
Would you agree that this reflects the same on his political godfather, the president, as well?
 
So what? Is it his job to register marriages? What his office does is to issue marriage certificates ONLY. But isn't what he and unfortunately you also, are talking about is the responsibility of NIDA?
I thought he National Bureau of Statistics is by law the sole body vested with the collection, analysis and dissemination of statistics in bongoland. How come and on what basis does this guy talk about establishing his own regional body instead of NIDA or NBS whatever?
You are very wrong bro. If, as you have admitted, his good office is responsible for issuing certificates, so is automatically responsible for storing the data. As to whether they can make the data available for everyones eyes thats another matter.
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.

RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia
Mkuu weka hivyo vifungu kwa faida ya wengine kama mimi
 
Mnaohangaika na Makonda hamna mambo ya maana ya kufanya.

Muimbieni mapambio lakini ukweli kumhusu mnaujua.
 
Hadithi za Makonda hauwezi kutofautisha na cartoon, zina tabia kuu mbili (2)
1.Chanzo hakijulikani
2.Hazijirudii
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.

RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia
Yan Bashite ana tatizo kwenye ubongo wake...nimemsikia akinukuu sheria ya ndoa ya Mwaka 1892😅
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom