Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,494
- 41,003
Ni kweli anakuja na mambo mapya, lakini karibia yote au yanakuwa hayana maana au huwa hana uwezo wa kuyatekeleza.Makonda mbunifu sana nampongeza anakuja na mambo mapya kila Leo
Ni kweli anakuja na mambo mapya, lakini karibia yote au yanakuwa hayana maana au huwa hana uwezo wa kuyatekeleza.Makonda mbunifu sana nampongeza anakuja na mambo mapya kila Leo
Makonda is a worthless piece of doodoo!
He has no business getting into other people’s personal businesses.
I have never ever heard any sense come out of his mouth.
Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
Kaulizwa maswali na Zuhura kashindwa kujieleza, kaulizwa ni sheria ipi inaingilia faragha? Yy kaanza kujibu vitu ambavyo havipo. Halafu anasema ni malalamiko ya wananchi na wakati wananchi wenyewe wanamshangaa.
Pia kaulizwa ni sheria ipi inasema majina yachapishwe, yy kaanza maelezo na mikanganyiko kibao. Na hakuna sheria yoyote inayoingilia mambo binafsi ya mtu na kuthibitisha mahakamani umedanganywa ni ngumu.
Poa amejibu kinyume na sheria kuwa kuna ndoa za aina 3 yaani ya Kikristu, Kiislam na ya bomani. Wakati Tanzania tuna ndoa za aina 3 yaani
1. Kidini
2. Kiserikali
3. Kimila
Ndoa za kimila zinatambulika kikatiba na kisheria lakini yy hazitambui
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili
Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.
Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza
Source BBC Dira ya Dunia
Ni kweli anakuja na mambo mapya, lakini karibia yote au yanakuwa hayana maana au huwa hana uwezo wa kuyatekeleza.
Nini kazi ya RITA kwenye hii ishu? Mbona Bashite anapenda kuleta uduwanzi hata pale ambapo angekaa kimya tu na kuepuka shari?
Ile kampeni yake ya watoto waliotelekezwa na baba zao imefikia tamati kweli? Nini matokeo?
Huyo ng’ombe sijui tumasaidie
BBC hawana credibility kabisa. It's a mouthpiece for liberalism. Hawana jema wanaloliongea kuhusu Afrika. Kumbukeni ile kampeni waliyoifanya dhidi ya Mugabe. Halafu wakamgeukia Rais Kagame na ile documentary ya kipuuzi kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Tutsi. Despicable this organization is. Safi sana Mheshimiwa Makonda kumnyoosha huyu dada wa BBC. Kwa awamu hii wamekwama.
Jokate yuko vizuri sana
Would you agree that this reflects the same on his political godfather, the president, as well?Makonda is a worthless piece of doodoo!
He has no business getting into other people’s personal businesses.
I have never ever heard any sense come out of his mouth.
Whenever he opens it, all that comes out of it is unadulterated bullshit.
You are very wrong bro. If, as you have admitted, his good office is responsible for issuing certificates, so is automatically responsible for storing the data. As to whether they can make the data available for everyones eyes thats another matter.So what? Is it his job to register marriages? What his office does is to issue marriage certificates ONLY. But isn't what he and unfortunately you also, are talking about is the responsibility of NIDA?
I thought he National Bureau of Statistics is by law the sole body vested with the collection, analysis and dissemination of statistics in bongoland. How come and on what basis does this guy talk about establishing his own regional body instead of NIDA or NBS whatever?
heri umekuwa muwazi maana jamaa ameongea Kama mmarekani kabisa.Hapa kwa kisukuma unamaanisha nini?
Jamaa anataka tu atengeneze habari kubwa ili ajadiliwe.Bashite bwana,sasa kaamua kuwa jaji wa mahusiano ya watu wazima. Ngoja tuone mwisho wake.
Mkuu weka hivyo vifungu kwa faida ya wengine kama mimiMjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili
Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.
Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza
Source BBC Dira ya Dunia
Mnaohangaika na Makonda hamna mambo ya maana ya kufanya.Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili
Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.
Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza
Source BBC Dira ya Dunia
Yan Bashite ana tatizo kwenye ubongo wake...nimemsikia akinukuu sheria ya ndoa ya Mwaka 1892😅Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili
Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.
Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza
Source BBC Dira ya Dunia
Nilikuwa nayo wacha nikutafutie!Mwenye picha ya makonda akiwa amelala huku wenzie pembeni wanasoma naiomba tafadhali
Would you agree that this reflects the same on his political godfather, the president, as well?