Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,407
Ohooo!!! kumbe we unataka hao wanyonge wanyongwe kabisa.Yuko Vizuri. Napendekeza awe rais kabisa maana anajua siri ya wanyonge.
Inabidi afanyiwe sala za kuwekwa wakfu kanisani Ufufuo na Uzima.
Ohooo!!! kumbe we unataka hao wanyonge wanyongwe kabisa.Yuko Vizuri. Napendekeza awe rais kabisa maana anajua siri ya wanyonge.
Inabidi afanyiwe sala za kuwekwa wakfu kanisani Ufufuo na Uzima.
Jana nilikua ninaangali ile clip ya msure wake akihojiwa na Zamaradi Clouds. Alisema huko alikompeleka mwanae akaishi wakati anasoma Mwanza walimtupia nguo zake nje.
Niliwaza kama alileta kile kiburi alichotaka kumfanyia askofu Shoo, kwakweli siwalaumu.
Ni kweli..hasa ukizingatia hapo alipo kimaisha bado hawezi kusema ameisha toka... bado anahitaji kuwa karibu Sana na jamii.. kwani maisha ya kisiasa wakati wowote yanageuka.Inaonekana kweli amenyanyasika sana, ila ni muhimu akawa na busara na hekima maana hata Dr Mengi alisota vilivyo na hata baada ya kupata alikuwa mnyenyekevu, hakugeuka KIFUTU.
Kwa wale wapenzi wa kufuatilia habari za Bashite naomba tutazame hii picha ili kujua alivyo anzia maisha Bashite.
Na tulinganishe matendo yake anayo yafanya kwa watanzaniaView attachment 1095132
Nifundishe jinsi ya kumtag mtu plzShape la kwenye avatar yako limenichanganya.
Bashite amwoe nani? Siyo ye DAB ndo aolewe? au mwenzitu macho yako yana lens mbonyeo, kwamba huoni ule mzigo!!Kwa jinsi unavyomfuatilia huyo bashite itabidi akuoe tu uwe mke wa pili
Wewe umeshachangia nn kuuondoa huo uziro wake na kufanya uwe uei?Ukiangalia ile clip ya baba na mama Bashite wakihojiwa unaona yule mama alivyo fanana sana na mwanae huyu "Ziro wa Taifa."
Like son like mom