Jaribu kuwa na busara,siyo kila mtu anapendelea lugha zisizo za heshima.Siku zote Mafanikio ya Mume lazima yawe yanapendwa na Mke.
Je,kuna concrete evidence kuwa hilo ndo jina lake au ni hearsay tu?Hiyo ni kwa mujibu wa home boy wake hivyo hakuna wa kumbishia
Siku zote Mafanikio ya Mume lazima yawe yanapendwa na Mke.
kama wewe ulivyoolewa na shetaniKwa jinsi unavyomfuatilia huyo bashite itabidi akuoe tu uwe mke wa pili
Jaribu kuwa na busara,siyo kila mtu anapendelea lugha zisizo za heshima.
Genta sitak mm jaman nakufa hapa mm😂😂😂😂😂😂😂😂
Mke mwema ni lazima tu kila mara atakuwa anayanadi na anayapenda Mafanikio ya Mumewe hata kama huyo Mumewe ni Mwizi, Muuaji au Taahira.
Genta mwache bwana mkaka wa watu..alafu ikizingatia huu ni mfunģo..na anajina la kiislam ujue
maandish ya kishetani mme wake, ndiyo hulka yake!Umempatia aisee
Ulijuwaje?
Bashite ndo aolewe na msela maana ule mt@ko itakiwa delicious kweliKwa jinsi unavyomfuatilia huyo bashite itabidi akuoe tu uwe mke wa pili
Jana nilikua ninaangali ile clip ya msure wake akihojiwa na Zamaradi Clouds. Alisema huko alikompeleka mwanae akaishi wakati anasoma Mwanza walimtupia nguo zake nje.
Niliwaza kama alileta kile kiburi alichotaka kumfanyia askofu Shoo, kwakweli siwalaumu.
Wewe ndio mke mkubwa!!??Kwa jinsi unavyomfuatilia huyo bashite itabidi akuoe tu uwe mke wa pili
Bashite kama binadamu ana mapungufu yake.. lakini kiukweli ni mpiganaji mzuri wa maisha...inaonekana amesota Sana siku za nyuma mpaka imekuja athiri tabia zake za Sasa.