Makonda alianzia mbali sana

Makonda alianzia mbali sana

Makonda aliishi mbona mpaka kinondoni shamba
Kuna wakati ambapo na mm naishi hko tulikuwa tunagongana sana kwa muuza chips mmoja anaitwa kc
Kweli maisha watu wanatoka mbali

Ova
Dunia ni mzunguko
 
Kuna baadhi ya mambo Makonda anafaa kuigwa. Mojawapo kubwa ni hali ya uthubutu na kutomuogopa binadamu yoyote.
 
Back
Top Bottom