Makonda alianzia mbali sana

Makonda alianzia mbali sana

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kwa wale wapenzi wa kufuatilia habari za Bashite naomba tutazame hii picha ili kujua alivyo anzia maisha Bashite.

Na tulinganishe matendo yake anayo yafanya kwa watanzania
FB_IMG_1557656061657.jpeg
 
Jana nilikua ninaangali ile clip ya msure wake akihojiwa na Zamaradi Clouds. Alisema huko alikompeleka mwanae akaishi wakati anasoma Mwanza walimtupia nguo zake nje.

Niliwaza kama alileta kile kiburi alichotaka kumfanyia askofu Shoo, kwakweli siwalaumu.
 
Tabia Tabia Tabia Tabia Tabia Tabia
 
Mi nashauri akafanyiwe maombi kkkt na askofu Shao
Yuko Vizuri. Napendekeza awe rais kabisa maana anajua siri ya wanyonge.
Inabidi afanyiwe sala za kuwekwa wakfu kanisani Ufufuo na Uzima.
 
Inawezekana ndiyo maana umbo lake liko vile
kuna jamaa flani mle ziwa victoria huwa ni wavuvi huitwa wakokozi.
mkuu wale huwa wanakula ugali wa watu kumi mtu mmoja, maana wanafanya kazi ngumu sana.
 
Back
Top Bottom