Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,242
- 61,162
Hili neno ndio lina trend sana siku hiziSio yeye itakuwa edited kabisa
Hili neno ndio lina trend sana siku hiziSio yeye itakuwa edited kabisa
Unaamini kwamba kwenye picha ni Makonda mkuu?Hili neno ndio lina trend sana siku hizi
Wewe ndio muwakilishi wake baada ya kum edit boss wako kuja kumpa promoKumbe wewe ndiye muwakilishi wake!
Sasa si uolewe nae tu,ghubu likuisheKwa wale wapenzi wa kufuatilia habari za Bashite naomba tutazame hii picha ili kujua alivyo anzia maisha Bashite.
Na tulinganishe matendo yake anayo yafanya kwa watanzaniaView attachment 1095132
Kwa wale wapenzi wa kufuatilia habari za Bashite naomba tutazame hii picha ili kujua alivyo anzia maisha Bashite.
Na tulinganishe matendo yake anayo yafanya kwa watanzaniaView attachment 1095132
kumbe amewahi kuwa mkokozi.
Huyo ndo role model wangu,ni mtu asiyekata tamaa na ndio maana leo yupo juu.
Watu wanampiga majungu kwa sababu hajatoka kwenye lile tabaka la waneemekaji tangu uhuru.
NB:Huo ni mtazamo wangu binafsi.Sitaki mabishano.
Mbona povu mkuuKwa jinsi unavyomfuatilia huyo bashite itabidi akuoe tu uwe mke wa pili
Una uhakika na hicho unachokisema?Akajiita maana jina lake ni Daudi Albert Bashite
Huyo ndo role model wangu,ni mtu asiyekata tamaa na ndio maana leo yupo juu.
Watu wanampiga majungu kwa sababu hajatoka kwenye lile tabaka la waneemekaji tangu uhuru.
NB:Huo ni mtazamo wangu binafsi.Sitaki mabishano.
Ndio kwa kuwa iliwahi kuletwa humu na ni yeye kabisa [emoji848][emoji848]Unaamini kwamba kwenye picha ni Makonda mkuu?
Alikuwa pia kondakta wa daladala.