njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
ivi huwa mnatumia akili kweli...ivi leo tukianza wote kuiga mtindo wa makond ...nchi hii itakuwa sawa...imagine kila mkuu wa mkoa kila mkuu wa wilaya afanye hivyo...itakuwa sawa kweli
Alafu pia utambue hata jambazi ana ndugu..na hao ndugu wanampenda....hili suala ni la ubinadamu zaidi ya hizo ngonjera zenu
kwa hiyo wilson kabwe kaonewa! nasoma between lines na huo ndio msimamo wako... nyinyi nyumbu sijui mnamatatizo gani aisee! ilianza kwa lowassa... mkapiga kelele za ufisadi leo hii raisi wa mioyo yenu! ... again ilikuwa kwa huyu huyu marehemu kabwe mlipiga kelele... alipokuja kushughulikiwa awamu hii mnaanza ohh! makonda ana wivu!