Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

pumzika mzee Kabwe, ila ungekuwa babayangu, akya Mungu Mungu Makonda husingefika msibani kabsa,kwa mira za kimasai kam ungelazimisha kuja wewe husngeuwa kw ngumi ni kwa mkuki tu km simba.
 
Hivi mtu anapofanya makosa ni vibaya akichukuliwa hatua? Huyu mtu alishalalamikiwa mpaka bungeni. Kosa la Makonda ni lipi hadi watu wamkasirikie. Makonda, JPM na serikali kwa ujumla pigeni kazi msirudishwe nyuma na propaganda.
 
Anna uliumia sana kifo cha baba yako aliesababisha nae ni zamu yake kuumia kama kawaida muosha huoshwa.
 
Familia ya Ruge nao wamsimpe mkono huyo jama wenu wa Dar
 
Mtu ukianza kukataliwa hapa duniani hata huko mbinguni malaika lazima wakukimbie , Bas.hite nae kaanza kukataliwa

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
jamaa anajikongoja ila anafahamu hapendwi sehemu kubwa
 
Zitto nae kamchunia.....
IMG_20190227_135712.jpg
 
Back
Top Bottom