Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

Mkubwa hiyo ni ndoto za mchana labda uanze kukamata vibaka wote uwafunge ukonga na keko kwz,!
 
Jamani kuna suala la usafi, kuondoa omba omba to say the few yamekwisha haya au?
 
labda kandambili au wallet isiyo na kitu au vitambulisho ila sio valuable items
Ndio kutangaza kwenyewe. Kwa kuanzia siyo mbaya kwani kutawafanya watu waone thamani ya kushukuriwa kwa matendo yao ni kubwa kuliko kupewa pesa.
Vyeti, kadi, na vitambulisho navyo vinathamani kubwa kwa anayevimiliki usiseme havina thamani
 
we ni mgeni dar au labda tuanzie hapo........,hiyo sio kazi ya polisi wala makonda bali kazi ya masheikh na mapadre,wachungaji kulainisha mioyo ya waumini,hayo ni mambo ya kiroho zaidi kuliko sheria ,watu wa dar hatuna roho hiyo
 
Kama kuna mistake mtukufu sana alifanya na itakuja mcost kwenye utawala ni kuteuwa kituko kama hiki au labda ni mkakati wa kiua daresalaam (thinking Loud)
 
hivi huyu jamaa huwa anafikiria kabla ya kuongea hivi ajui mtu hata kama ana maadili vipi kama ana njaa ni lazima atafanya jambo lolote ili apate kushiba
 
-->>NATURE YETU HAIRUHUSU HILO../ TUPO KIJANJA,WIZI,HATURIDHIKI NA TULICHO NACHO ULAFI ULIOPINDUKIA,...
 
we ni mgeni dar au labda tuanzie hapo........,hiyo sio kazi ya polisi wala makonda bali kazi ya masheikh na mapadre,wachungaji kulainisha mioyo ya waumini,hayo ni mambo ya kiroho zaidi kuliko sheria ,watu wa dar hatuna roho hiyo
Ni kweli kabisa viongozi wa dini watalifanya hili kwa urahisi na ufanisi zaidi. Kuimarika kwa polisi kimbinu, teknolojia na weledi nako kutaongeza hali hiyo. Mfano kukiwa na kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya jiji kutawafanya wengi kuripoti vitu waviokotavyo kwa hofu ya kuonwa na kamera na kufuatiliwa na kuaibika.
 
hivi unawekaje kamera tandale manzese na mwananyamala kwanza wataanza kuziiba hizo kamera dar iko tofauti na muijuavyo,mliokulia masaki ngumu kuelewa haya
 
hivi unawekaje kamera tandale manzese na mwananyamala kwanza wataanza kuziiba hizo kamera dar iko tofauti na muijuavyo,mliokulia masaki ngumu kuelewa haya
Hata posta kamera inawezaibwa tu. Nashukuru umetambua kuwa kwa teknolojia hii uwezekano wa watu kuwa waaminifu utaongezeka. Hivyo changamoto ya wizi itatatuliwa kadiri itakavyojitokeza. Kwani magari hununuliwa hutumika na kuharibika kwa ajaili au uchakavu lakini kutokana na umuhimu wake hununuliwa mara kwa mara
 
vibaka na uhalifu utazidi kuongezeka Dar na Tanzania Kwa ujumla endapo Polisi wataendelea kuacha kufanya kazi zao za msingi za kulinda raia na mali zao na badala yake kuamua kujikita kupambana na UKAWA, UKUTA,CHADEMA,BAVICHA TUNDU LISSU,MAALIM SEIF NK.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar amesema anataka Dar iwe kama Dubai ambapo mtu anaweza kuacha mali zake au kupoteza mahali na kuzikuta au kusikia imetangazwa aende akazifuate polisi
Na pia ametka ifike muda kusiwe na mtu anayeweka mageti ya umeme na walinzi kujilinda dhidi ya wezi kwa kuwa kutakuwa na ulinzi wa kutosha
Ameyasema hayo akiwa anaongea na jeshi la polisi na kuendelea kuwambia kuwa ana imani watampa ushirikianao kwenye kutekeleza hilo
Amesema anataka Dar iwe ya amani na utulivu ambayo itavutia wawekezaji kuja kuwekeza na kutengeneza ajira

Vipi kina kaoge kawaondossha?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji15] dubai
 
hiyo kitu haiwezekani,taizo sio polisi tatizo tabia za watu,labda kama kila mtu awe na polisi wake,polisi wenyewe kuna wengine wana tuhuma za ujambazi na wizi
Husipotaka kubadili tabia wataishia kukuude tu, hakuna namna, ujambazi is not an option
 
vibaka na uhalifu utazidi kuongezeka Dar na Tanzania Kwa ujumla endapo Polisi wataendelea kuacha kufanya kazi zao za msingi za kulinda raia na mali zao na badala yake kuamua kujikita kupambana na UKAWA, UKUTA,CHADEMA,BAVICHA TUNDU LISSU,MAALIM SEIF NK.
Kweli polisi imejisahau, wakasome nembo yao imeandikwa ni usalama wa raia na ndio leo la kuanzisha hicho chombo, pamoja na hayo uliyoandika umesahau kazi yao kubwa ya kushinda barabarani wakiwinda magari wakasahau kazi zao za msingi
 
Ni vizuri kuona mtu anafikiria hilo, ulinzi peke yake hautoshi, vichwa vya watu inabidi vielimike, raha sana kuishi sehemu unadondosha wallet mtu anaokota anakutafuta anakurudishia, hii bongo piga ua, hata pastor akiokota wallet anasepa nayo na kutafuta sababu za kujustify alichokifanya, tuna wakati mgumu sana.

Umenifurahisha sana mkuu, inabatizwa jina la "muujiza", wakati unaona picha ya muhusika na tarifa zake, kwanini husimtafute? Huo ni wizi tu
 
Back
Top Bottom