Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

Ni ndoto? Ataijenga Kwa uchumi gani? Serikali ilikuwa hapa Dar hikuweza Leo imehamia Dodoma ndio iweze
 
kuna simu iliibiwa wakati wa bunge la katiba,kweli mchawi mpe mwanao alee!!!!
Mwizi Mwizi simu.....wakati wa Bunge la Katiba! Hivi ilikutwa wapi vile? Imezimwa na imefichwa!! Hapo ilikuwa ndani ya Bunge!!!! Vipi angeikuta kituo cha bus?
 
Makonda sasa naweza kumwita msanii kila siku analeta kituko kipya, wana Dar tunahitaji maendeleo sio kauli za ovyo ambazo anatuletea kila kukicha. Tatizo Dar haijui anashindwa kutengeneza vipaumbele vya maendeleo kisha akavifanyia kazi kutwa mara ntakamata mashoga, mara ombaomba, mara sie tusiokuwa na ajira, mara msako wa ofisi zisizoweka picha ya magu, na sina uhakika kesho ataongea nin. Dar tunahitaji maendeleo sio upuuzi anaoleta!
 
Mwizi Mwizi simu.....wakati wa Bunge la Katiba! Hivi ilikutwa wapi vile? Imezimwa na imefichwa!! Hapo ilikuwa ndani ya Bunge!!!! Vipi angeikuta kituo cha bus?
Mchawi mpe mwanao amlee! sijui Makonda amesahau hii kitu ya BMK
 
Back
Top Bottom