Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,982
Mkuu wa mkoa wa Dar amesema anataka Dar iwe kama Dubai ambapo mtu anaweza kuacha mali zake au kupoteza mahali na kuzikuta au kusikia imetangazwa aende akazifuate polisi
Na pia ametka ifike muda kusiwe na mtu anayeweka mageti ya umeme na walinzi kujilinda dhidi ya wezi kwa kuwa kutakuwa na ulinzi wa kutosha
Ameyasema hayo akiwa anaongea na jeshi la polisi na kuendelea kuwambia kuwa ana imani watampa ushirikianao kwenye kutekeleza hilo
Amesema anataka Dar iwe ya amani na utulivu ambayo itavutia wawekezaji kuja kuwekeza na kutengeneza ajira
 
Alikuwa kanyamaza,sasa kaja
 
HIZI ALINACHA HATARI SANA/
->>ILI KUFANYA INCHI IWE KAMA DUBAI AU SWISS,VIPATO HAVITAKIWI KUPISHANA,SASA HUKU KUNA WANAOPATA MALAKI NA PIA KUNA WANAOLALA NJAA / WIZI UTAKWISHAJE?
 
Kigali wameweza kwenye usalama wa Mali na raia
 
Mkuu wa mkoa wa Dar amesema anataka Dar iwe kama Dubai ambapo mtu anaweza kuacha mali zake au kupoteza mahali na kuzikuta au kusikia imetangazwa aende akazifuate polisi
Na pia ametka ifike muda kusiwe na mtu anayeweka mageti ya umeme na walinzi kujilinda dhidi ya wezi kwa kuwa kutakuwa na ulinzi wa kutosha
Ameyasema hayo akiwa anaongea na jeshi la polisi na kuendelea kuwambia kuwa ana imani watampa ushirikianao kwenye kutekeleza hilo
Amesema anataka Dar iwe ya amani na utulivu ambayo itavutia wawekezaji kuja kuwekeza na kutengeneza ajira

🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
kuwezekana inawezekana kama polisi wakifanya kazi yao halisi ya usalama wa raia. wapeana zamu walinde mitaani na kila atakayekatwa mwizi ashughulikiwe sawa sawa. Mbona yawezekana hao waliwezaje, issue nikudhibiti tu, utaona kama vibaka, wezi na majambazi hawatanyanyua mikono wenyewe. Sio suala la kumbeza hata,
 
tatizo lake kaingia mjini juzi bado hajalijua jiji,eti upoteze kitu bongo,muokotaji akatangaze ,over my dead body hiyo sio dar ya kizazi hiki cha nyoka
 
Ana ndoto hana mikakati yyte ye ni wale wa kusema sema tu kutafta kiki atomize yote aliyosema AF tutarud kumjadili
 
kuwezekana inawezekana kama polisi wakifanya kazi yao halisi ya usalama wa raia. wapeana zamu walinde mitaani na kila atakayekatwa mwizi ashughulikiwe sawa sawa. Mbona yawezekana hao waliwezaje, issue nikudhibiti tu, utaona kama vibaka, wezi na majambazi hawatanyanyua mikono wenyewe. Sio suala la kumbeza hata,
hiyo kitu haiwezekani,taizo sio polisi tatizo tabia za watu,labda kama kila mtu awe na polisi wake,polisi wenyewe kuna wengine wana tuhuma za ujambazi na wizi
 
Ni vizuri kuona mtu anafikiria hilo, ulinzi peke yake hautoshi, vichwa vya watu inabidi vielimike, raha sana kuishi sehemu unadondosha wallet mtu anaokota anakutafuta anakurudishia, hii bongo piga ua, hata pastor akiokota wallet anasepa nayo na kutafuta sababu za kujustify alichokifanya, tuna wakati mgumu sana.
 
tatizo lake kaingia mjini juzi bado hajalijua jiji,eti upoteze kitu bongo,muokotaji akatangaze ,over my dead body hiyo sio dar ya kizazi hiki cha nyoka
Mbona hata sasa watu wanatangaza vitu mbalimbali kwenye mitandao ya magrupu ya whatsApp.
 
Back
Top Bottom