Urusi yaionya Israel

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936
Kumekucha

Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.

Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.

Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
 
Medvedev anajua hasara Urusi iliyoipata baada ya kuingia kichwa kichwa Ukraine.Kwa Israeli ni tofauti, mpaka sasa karibia asilimia arobaini ya eneo la Gaza halikaliki kutokana na uharibifu uliofanywa na Israeli. Hamas wamekimbilia kwenye mashimo kama panya buku.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Putin kapona?
 
Kibwagizo tu hicho jeshi la Israel litaingia ardhi jiandaeni kuendelea kuahurumia Hamas msije kulia lia huku kuwekea picha za watoto kutafuta huruma Hamas wamechokoza mchokozi Israel anachelewa kuingia kwa sababu tatu kwanza Marekani kamshauri asubiri apewe kikosi bora cha ardhini,pili kuhusu mateka inatafuta namna ya kuwaokoa tatu jeshi la anga linatengeneza njia kuvunja vunja yale majengo ya Gaza ili wanajeshi wa Israel wasipatwe na wanamgambo wanaojificha kwenye majengo yale

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Medvedev anajua hasara Urusi iliyoipata baada ya kuingia kichwa kichwa Ukraine.Kwa Israeli ni tofauti, mpaka sasa karibia asilimia arobaini ya eneo la Gaza halikaliki kutokana na uharibifu uliofanywa na Israeli. Hamas wamekimbilia kwenye mashimo kama panya buku.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Una chuki binafsi na waislam
 
Hasara gani wakati kachukua ardhi yenye mabilioni ya dola ardhini
 
Drone ya Wanamgambo wa Israel imeshushwa huko Gaza

Israeli drone crashed in the Zeitoun neighborhood of Gaza City.

It’s unknown if it was shot down or crashed due to technical failure
IMG_20231027_181536.jpg
 
Kumekucha

Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.

Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.

Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
Usichokijua huyo ni myahudi
 
Dmitry Medvedev akamhudumie babu putin kwanza mambo ya israel katu hayawezi
 
Drone ya Wanamgambo wa Israel imeshushwa huko Gaza

Israeli drone crashed in the Zeitoun neighborhood of Gaza City.

It’s unknown if it was shot down or crashed due to technical failureView attachment 2794839
rudi shule mpuuz ww wamesema haijulikan kama imeagushwa au kuanguka yenyew , habar kama hz waislam hawacahkachui akoili nipe pande
 
Kumekucha

Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.

Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.

Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
Wenyewe wanasema:
The ones that want a ceasefire want Hamas to keep existing so they can keep attacking our communities, our children, our markets, our buses, our cafes, our schools, our supermarkets, our mothers, our babies, again and again and again and again and again and again and again.

This war ends when Hamas ends.
 
Back
Top Bottom