MAKOFI KWAKE PLz

MAKOFI KWAKE PLz

Samahani siwatishi ila kupeana tu moyo kuna makao baada ya duniani
 
he! kwani na wewe ni ke? basi leo nina bahati kama nini. chaguo langu yaani kazi ni kwangu. woow!. mia

hapana mie ni sh.....!! kama avatar inavodisplay btw!!!dunia yako,chagua lako chagua kufuata nyuki uambulie manundu...!!!
 
ID yako kwenye avatar ni ngumu sana kuitaja, anyway if won't mind karibu kwa lunch Falcon Restaurant plz.

Mbona iko poa unatamka kama ilivyoandikwa...!!!!thankss kwa lunch huko ulipopataja ndo wapi tena??i mean mji gani toa full addrss mkuu!!!!
 
...Sio Chinese?.. Yaweza kuwa business zaidi maana kwa jinsi alivyo sikutegemea akavaa ya mtindo huo.....[/QUOTE
Duuuuh kama ni Mchina basi mchina nomaaaaa, na kama biashara basi ni Tanzanite tehe tehe tehe.
 
Kumbe uko pande za wapi mrembo?

Mmmmh...!!!nko ktika moja wapo ya mikoa ya tanzania sjui ni kusini au kaskazini uku maana hata mie mwenyewe sipaelewi elewi ngoja niulize mtu hapa akiveryfy ntakujibu mkuu...!!!!!
 
Back
Top Bottom