MAKOFI KWAKE PLz

MAKOFI KWAKE PLz

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
2,209
Reaction score
825
MAKOFI KWAKE.jpg

YANI NILISHINDWA HATA KULA BURGER YANGU..! MUNGU BHANAaa! SASA HAYA NDO MASABURI ORIGINAL.
 
Huyu lazima akose amani mtaani!
Yawezekana kweli ni kitu cha Arusha a.k.a Peking!
 
View attachment 68402

YANI NILISHINDWA HATA KULA BURGER YANGU..! MUNGU BHANAaa! SASA HAYA NDO MASABURI ORIGINAL.

Umbo kama hili ukilivalia nguo ya heshima unapendeza sana hata wale watukanaji barabarani hawawezi kukutukana wataishia kumshukuru Mungu kwa uumbaji; lakini ukivaa kituko hakuna atakayekuthamini, utaishiwa kutukanwa, kuzomewa na kugunwa na kila mpita njia. WANAWAKE JIFUNZENI KUVAA KULINGANA NA MAUMBILE YENU
 
Hawa ndo wale wanaotaka headlines, nikiwa na umbo kama hilo sivai kituko kama hivyo maana unakosa amani tu barabarani
 
hebu tupia mfano wa umbo linalofanana na lako tuzungumze kidogo..!
 
Mkuu hivi kwa nini shurti umalizie kauli na lower case characters? Nataka kujua please

MUNGU BHANAaa!

MAKOFI KWAKE PLz
 
Clap CLap Clap! Kwaheli nimepiga makofi. Acha Mungu aitwe Mungu aisee duh!
 
Huyu akivua nguo huwezi mtamani alivyoharibika mapajani,maumbile haya hayana dili siku hizi.
 
Duuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!! ni balaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom