MAKOFI KWAKE PLz

Sasa ukitaka ikamilike awe hana tumbo, mwenye nyama laini, cute na msafi. Hapo unaweza shindwa kuamka kesho yake. Kuna siku ilibidi jamaa aniletea red bull na coca mida ya saa 6 mchana baada ya kutumika vibaya usiku kucha
Ha ha ha ha Kifarutz umenifurahisha sana,ulikuwa kwenye mbio za formula one nini au ilikuwa siku ya kwanza unakutana nae?Ila hongera kwa kufaidi na natumai unaendelea kutumika vizuri na maisha yanakwenda sawia.
 
Aisee ilikuwa day one maana hawa dada zetu usipowashughuikia ipasavyo wanakudharau. Maisha tunakimbiza mdogo mdogo sema sasa ndoa zinatubana ukitoa mguu nje tu wife anakupigia simu eti mtoto amekumiss anataka kuongea na baba ake, mtoto mwenyewe wa miaka miwili. Ni kupigwa pini kwa kwenda mbele hata kutumika kumepungua kabisa
 
Mkuu mambo ya kuchepuka mimi nimekoma maana kuna siku nilichepuka kuja kugundua kumbe ni mtu na dada yake yaani ilikuwa ugomvi mkubwa na niliamua kuwaacha wote,kwa sasa nimetulia na mama watoto na napambana na vishawishi maana kila mwanamke unayemuona sasa hata kama ana pete ukipiga stata tu gari inawaka.

Kwa sasa tulia na lea mtoto maana tuna watoto wenye umri sawa na huwezi amini mwenzio nikitaka kurudishwa nyumbani anapewa simu mtoto utasikia baba nimekumiss njoo nyumbani!!
 
Kweli kabisa mkuu, acha kujitunze tusije acha wana wetu mayatima bure maana siku hizi hawa dada zetu wamezidi kunona. All the best kaka, pamoja sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom