MAKOFI KWAKE PLz

MAKOFI KWAKE PLz

mie sipendagi kabisa sample hizo..., akivua unaweza pata kichefuchefu jinsi nyama zilivo kaa.
 
Mmmmh...!!!nko ktika moja wapo ya mikoa ya tanzania sjui ni kusini au kaskazini uku maana hata mie mwenyewe sipaelewi elewi ngoja niulize mtu hapa akiveryfy ntakujibu mkuu...!!!!!
Wewe lazima utakuwa upepo, hebu muulize jua atakujibu.
 
Ni wavivu wakati wa chakula cha usiku yaani hawawezi kazi kabisa,kifo cha mende na dog style ndio wanaweza nyingine katafute pengine.
Duu..! Ni kwamba unamiliki danguro nini au unatumika sana? Nashindwa kukupata haya mambo unayajuaje?
 
body tuu ila mcn hakuna kitu hapo nyama tamu ni ya kitimoto tuuu hayo no mabox tuuu
SIDANGANYIKI NYUKI HAPIGWI BUSU.
 
Duu..! Ni kwamba unamiliki danguro nini au unatumika sana? Nashindwa kukupata haya mambo unayajuaje?
Nilikuwa na uhusiano zamani na mtu mwenye mambo kama haya ingawa haikuwa kama huyu wa kwenye hii picha hivyo najua nini ninaongea,kwa maumbile na kutetemesha watu mitaani kwa matamanio wanaweza ila chumbani hakuna unachopata zaidi ya miguno tu na niliyoyasema kabla,sina uwezo wa kumiliki Danguro na ninaishi kwa kufanya kazi halali na wala situmiki kabisa zaidi ya kwa shemeji yako tu.
 
Well said, na wale walio wembamba kupindukia wana sifa zipi? Sijabahatika kumikili mizigo ya iana hizi mbili. I mean mwenye makalio kama huyu hapo juu na wembamba mithili ya ma-miss
 
Inategemea na mtu ila wembamba wapo flexible unaweza kufanya nae style zozote upendavyo bila kupata taabu.
Sasa kama hujawahi kupata watoto wa aina hizi mbili una wa aina gani?
 
Uuuuuwi....yani hapo hata mshahara unaweza kumuachia,damn there guys out there wanafaidi....
 
jamani nyie viumbe mnataka nini? ukiwa huna unaambiwa shep kama kabati, ukinunua kwa MCHINA mnaanza vijineno.
 
Inategemea na mtu ila wembamba wapo flexible unaweza kufanya nae style zozote upendavyo bila kupata taabu.
Sasa kama hujawahi kupata watoto wa aina hizi mbili una wa aina gani?
Asante kwa taarifa. My type ni wale size ya kati kaka, not fat not thin, average height, hips zise 40 plus or minus 5 na makalio ya kiasi fulani.
 
Mkuu basi upo katika kundi la watu ambao wanapata kile roho inapenda kama mwenza wako anayajua hasa kama alipitia unyago.
 
Sasa ukitaka ikamilike awe hana tumbo, mwenye nyama laini, cute na msafi. Hapo unaweza shindwa kuamka kesho yake. Kuna siku ilibidi jamaa aniletea red bull na coca mida ya saa 6 mchana baada ya kutumika vibaya usiku kucha
 
Back
Top Bottom